Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
I was lost for a while now am back.I missed you all hope you missed me too.
missed you my wii
karibu sana
hope umakuja na excellent pia
miss you too mkuu kabakabana..
tuliambiwa tutafute neno la kiswahili lenye hadhi sawa na 'miss' so far tutumie (hilo neno)kwa vile hatujalipata.
Nimeku(hilo neno) sana tehe tehe.
Karibu tena mrembo wetu .
welkamu bakii
Wengi watasema walikumiss ila waongo....mi.ndo nilikumisss hadi nikaumwa.....welcome backI was lost for a while now am back.I missed you all hope you missed me too.
ahsante sana halafu naona umehamia sana jukwaa hili,karibu
Wengi watasema walikumiss ila waongo....mi.ndo nilikumisss hadi nikaumwa.....welcome back
mpira huwa upo zaidi week end ila siku nyingine bora humu full stressfree....
kwa hiyo ulitumia dawa gani?
Dah mbona watu kimya?sitaki amini hakuna alienimiss
kwa hiyo ulitumia dawa gani?
jamani wifi,thanx much.huyo kaka'ko hata sijui yuko wapi nikuulize wewe