Am addicted to these types of women!!!!

TINGA TINGA

New Member
Jun 7, 2011
4
1
Jamani wana JF mimi nina tatizo moja kubwa maishani mwangu kuhusu wanawake na matatizo hayo ni kama ifuatavyo;
  • Kila nikitafuta mwanamke najikuta niko na mchagga, matokeo yake nimejikuta natembea na wanawake wa kichaga kibao
  • Killa mara najikuta ninapendana na wanawake wenye mzigo mkubwa i mean wowowo na maziwa ya nguvu
  • Kila mwanamke ninayekutana naye ananitamkia kuwa anachanganyikiwa na mapenzi ninayompa na wengi wao wananitamkia kuwa anatamani afanye lolote liwalo ili niwe naye, now mimi naogopa asije akanifanyia black chemistry.
Sasa najiuliza "is it just coincidence au kuna explanation nyingine? naomba wenye ufahamu wa mambo haya
 
Inategemea target yako ni nini. Kama lengo lako ni kutembea nao, utawapata wanawake warahisi ambao integemea kama kwenye kabila fulani ndipo urahisi ulipo au la. Kama unataka kuoa, unaweza kuchagua umpendaye na uka-sort hata kabila utakalo, ilimradi uwe serious tu.
 
Jamani wana JF mimi nina tatizo moja kubwa maishani mwangu kuhusu wanawake na matatizo hayo ni kama ifuatavyo;
  • Kila nikitafuta mwanamke najikuta niko na mchagga, matokeo yake nimejikuta natembea na wanawake wa kichaga kibao
  • Killa mara najikuta ninapendana na wanawake wenye mzigo mkubwa i mean wowowo na maziwa ya nguvu
  • Kila mwanamke ninayekutana naye ananitamkia kuwa anachanganyikiwa na mapenzi ninayompa na wengi wao wananitamkia kuwa anatamani afanye lolote liwalo ili niwe naye, now mimi naogopa asije akanifanyia black chemistry.
Sasa najiuliza "is it just coincidence au kuna explanation nyingine? naomba wenye ufahamu wa mambo haya

Hivi wanawake wa kichagga wana wowowo kweli au ndiyo umeamua kuchakachua hii hadithi ya Alfa lelaulela...........wengi wao naona ni pasi tu kama ya mzungu..................western values................
 
Jamani wana JF mimi nina tatizo moja kubwa maishani mwangu kuhusu wanawake na matatizo hayo ni kama ifuatavyo;
  • Kila nikitafuta mwanamke najikuta niko na mchagga, matokeo yake nimejikuta natembea na wanawake wa kichaga kibao
  • Killa mara najikuta ninapendana na wanawake wenye mzigo mkubwa i mean wowowo na maziwa ya nguvu
  • Kila mwanamke ninayekutana naye ananitamkia kuwa anachanganyikiwa na mapenzi ninayompa na wengi wao wananitamkia kuwa anatamani afanye lolote liwalo ili niwe naye, now mimi naogopa asije akanifanyia black chemistry.
Sasa najiuliza "is it just coincidence au kuna explanation nyingine? naomba wenye ufahamu wa mambo haya
we mshamba, debe tupu halikosi kulia, nipe mkeo au gf wako nimjaribu kama atarudi tena kwako...acha watu wakusifie, ukijisifu mwenyewe unakuwa mshamba...wanaume wa kihivyo huwa mnatuaibisha sana wanaume wenzenu...hebu sepa hapa.
 
Na wewe pia umo kwenye msafara?!Heshima imepungua...

Lizzy hutaki ahojiwe mleta hoja hata kidogo tukae kimya tu huku tunabugizwa soga za mwaka arobaini na saba..........lol
 
Hahahha...unamhoji wakati unatafuta kuungwa mkono?!Soga na wewe sipigi ng‘o usije ukapata kitu kipya cha kuendeleza propaganda!!
 
Ni kweli mkono wangu ni fupi sana kwa hiyo wahitaji kuungwa vilivyo................
 
Kwa kweli wewe ni mwongo kabisa, au ndio unataka tukuone unajua mapenzi baasi tena pm zianze kumiminika? unataka ushauri chagua mmoja huna haja ya kutembea na wachaga woote ili upate mke

Kama hajaelimika hapa basi ajue yeye ni kwisha habari yake................
 
msiwatusi wachagga wa kwangu mchaga ana hips kanga haifungi na huko behind ni noma mguu ndo usiseme. sasa dont generalised wadau
 
Jamani wana JF mimi nina tatizo moja kubwa maishani mwangu kuhusu wanawake na matatizo hayo ni kama ifuatavyo;
  • Kila nikitafuta mwanamke najikuta niko na mchagga, matokeo yake nimejikuta natembea na wanawake wa kichaga kibao
  • Killa mara najikuta ninapendana na wanawake wenye mzigo mkubwa i mean wowowo na maziwa ya nguvu
  • Kila mwanamke ninayekutana naye ananitamkia kuwa anachanganyikiwa na mapenzi ninayompa na wengi wao wananitamkia kuwa anatamani afanye lolote liwalo ili niwe naye, now mimi naogopa asije akanifanyia black chemistry.
Sasa najiuliza "is it just coincidence au kuna explanation nyingine? naomba wenye ufahamu wa mambo haya

Unajikuta au unatongoza?????
 
mh kwani hao wanawake wenye mizigo unakamatiwa si unatongoza mwenyewe?? coincidence inatoka wapi? explanation ni kwamba hiz ndio type zako unazozitaka sasa nani akupe maelezo? kwani wembamba wasio na maziwa wala mawowo huwa huwaoni? au huna uwezo nao? na who told u that kuna black chemistry kwenye mapenzi?? watu tunatazama chapaaa ck hzi acha kujigamba mambo ya kizamani sana hayo
 
Nani kakwambia wachaga wana mizigo nyuma? Halafu uzi wako wote unaonekana kutungwatungwa tu. Acha misifa, mtu mzima wewe!
 
Aisee nyie watu mwashangaza sana kwa kweli. Hv wachaga wana nini na nyie? Mbona wapo wengi tu wenye shepu zao? Ile mbegu mbaya ya zamani ishaishaga jaman, hepu waacheni wachaga wa watu wapumzike kwa amani ya bwana...
 
Kwa kweli wewe ni mwongo kabisa, au ndio unataka tukuone unajua mapenzi baasi tena pm zianze kumiminika? unataka ushauri chagua mmoja huna haja ya kutembea na wachaga woote ili upate mke
hehehe kwakweli mie leo namfata shantel tu anapokwenda. Dah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom