Si ukaanzshe hata bustani za mboga mboga mkuu?
Ishu capital Capital
nenda pale jangwani au msimbazi kuna kazi kibao za saidia fundi wanaojenga nyumba zilizobomoka kwa mafuriko, au hii njia ya tandale kwa mtogole kuna mafundi wa barabara wana nafasi kibao wanaweza kukupatia, kwa siku elfu 25, hapo unasave paka 13 kwa siku au 15....kazi ni kwako
Mi sipend tabia ya mtu ya kusema "JIAJIRI" UMENIPA CAPITAL NIKAKATAA...MI MWENYEWE NAWISH KUJIAJIR...
unaweza kufundisha PCM au ECA kidato cha 5 sema upate kazi huku moshi utapata salary nzuri shule ya masister wa kihindi wanahitaji mwlMe ni graduate wa SUA nina Bachelor ya Agribusines and agrieconomics,.plz am seriously seekin job ,.if u hear one inform me.
Hizi ni pumbaa!
pumba kisa ni graduate sio?ebu nenda hapo nigeria uone ka graduates wa kule wanachagua kazi ka nyie wabongo.