MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 510
Featuring Baba Tunda maana naambiwa walikuwa wote kenye dhahma!akitoka hapo akawatungie ka singo
of the.... malizia!Looh, the downfall of the ....
20% ndo alianzisha fujo akiwa amelewa chakali alichukua dem wa mtu baada ya kudakwa alimpigia Afande sele akaja na gheto boy wake wakaanza kupigana hapo hadi polic walipo fika nao wapigana nao hatimae wakakamatwa na kutupwa nondoView attachment 51141
Bado sijajua ni sababu ipi iliyotoa dhamana kwa polisi kutoa kipigo cha mwizi kwa msanii huyu ila picha inasikitisha. Polisi ni chombo cha usalama kweli??????? Pole yake..
Alifanya nini huyo au ni mwizi kweli?View attachment 51141
Bado sijajua ni sababu ipi iliyotoa dhamana kwa polisi kutoa kipigo cha mwizi kwa msanii huyu ila picha inasikitisha. Polisi ni chombo cha usalama kweli??????? Pole yake..
what is this?