Almanusura jirani yangu afe kutokana na huduma aliyopatiwa katika kituo cha afya

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Naomba niseme kweli sikuwahi kumwona Waziri wa Afya Tanzania akiumwa na kulazwa kituo cha afya chochote nchini Tanzania, sio yeye tu hata mbunge wala diwani sijawahi kuona wala kusikia yakuwa wameumwa na kulazwa kituoni hapo.

Sikuwahi muona Ummy Mwalimu, enzi za ujauzito wake ila kwa umbea wa Mrisho Mpoto (sio mume wa Ummy mwalimu), msaniii aliyebadilika kwa sababu za utumbo wa tumbo lake na mkewe na wanawe, akaacha kuwasemea Watanzania.

Mrisho Mpoto alipopata chance ya kutumbuiza mbele ya Rais Samia Siku ya Madawa ya Kulevya Duniani iliyoazimishwa mkoani Arusha, aliutanganzia umma yakuwa Waziri wetu wa Afya yaani Ummy alikuwa nanayonyesha siku hiyo.

Swali ni je, Ummy Mwalimu alijifungulia kituo gani cha afya? Ni hiki hiki ambacho kilitaka kumtoa roho jirani yangu ambaye ni mtumishi wa umma, na ndiye aliyekuwa msimamizi mkuu wa kituo hicho cha afya kuanzia msingi mpaka kinakamilika na madakitari wapya wemeletwa, madawa yakaja, na vitendea kazi kedekede, na Mwenge ukapita ukakifungua wakati huo jirani yangu anakata mauno kisa mwenge umepitisha kituo hicho?

Nimesema, si hata diwani apumzishwi hapo jaman! Naomba niseme kweli nayo kweli iniweke huru. Niliwahi shuhudia Rais mmoja tu wa Tanzania na yeye alivyodiriki kwenda kituo cha Afya Mzena nae alifariki Dunia.

Kisa chenyewe cha jirani;

Jirani: Sifi Leo umeamkaje jirani? Sifi Leo akiwa getoni kwake anaitikia salamu na kumwamkia jirani
Sifi Leo: Nimeamka salama jirani shikmoo!
Jirani: Marahaba? Jirani anaitikia. Naomba nikusumbue sifi Leo!
Sifi Leo: Sema jirani
Jirani: Naomba unisaidie unifikishe kituo cha afya hapo juu.
Sifi Leo: Ebo! Nini shida tena waumwa?
Jirani: Ndio, naharisha sana na kutapika usiku kucha, sijalala huwezi amini!
Sifi Leo: Jaman pole sI ungenishutua usku tukaenda hospital?
Jirani: Hapana twende sasa hivi!
Sifi Leo: Sawa jirani mtumishi twende, umesema nikufikishe kituo cha afya?
Jirani: Hehee tena kile nilichokisimamia mimi mwenyewe kuanzia msingi mpka kinakamilika, na siku hizi kina madakitari wapya kabisa na juzi ndio kilizinduliwa na Mwenge, tulikesha tukiserebuka kudadeki, chezea mradi kuusimamia na kupitishwa wewe!
Sifi Leo: Hahaha twende jirani (sifi anakubali kumpeleka).

Safari ikaanza mpaka kituo cha afya, kufika tu jirani mtumishi anapopokelewa kama Mh. fulani gafla ananyanyuka na kwenda kutapika, anapitiliza bafuni anaharisha. Mimi niko nje nimekaa naona mtu anatoka bafuni amekunja sura kama kalambishwa pilipili.

Anarudi kwa Dr. anapimwa presha, anaambiwa Iko 97/160. Anapewa Horo, Pilitoni na Paracetamo, anaambiwa arudi kwake akapumzike hizo dawa anywe kila baada ya masaa sita. Mimi huyo nikabeba jirani mtumishi nikamrudisha kwake, akaingia ndani mimi mikasepa zangu. Lahaula, saa tisa usiku Sifi anagongewa mlango.

Jirani: Mgonjwa aliyeenda hosptali asubuhi kwa ugonjwa wa kuharisha na kutapika kazidiwa, tunaomba utupeleke hosptali kubwa!
Sifi Leo: Nini jamani, sI alipewa dawa, hazimsaidia? Hivi jirani mtumishi ulipimwa damu, haja kubwa?
Jirani: Hapana.
Sisi Leo: Hahahahahaha, hiiii ndio bongo lendi kudadeki Wewe si ndio ulikuwa unaserebuka Mwenge kupitisha kituo? Wewe si ndio ulisema kituo kimekamilika kila kitu kipo? Wewe si ndio ulisema kituo kina madakitari bingwa, tena ukajitapa siku ya mwenge kupitia risala uliyoisoma ya kuwa madakitari bingwa waliosoma Russia na Ukraine wako hapo kituoni? Ukaongeza mbwembwe eti hata wakija wagonjwa wa vita hao madakitari bingwa wanauwezo wa kutegua magonjwa hayo maana wamefundishwa mpaka mbinu za kivita?

***

Hivi ninavyo andika ni kuwa, mtumishi kalazwa hosptali kubwa, amepimwa kinyesi na damu na kuchomwa sindano katulia tuli. Naona amepitiwa na usingizi, nasubiria aamke nimuweke klipu aliyoisoma siku ya mwenge aisikilize, sijui atajirekebisha au la!
 
Naomba niseme kweli sikuwai kumwona Waziri Wa Afya Tanzania akiumwa na kulazwa kituo Cha afya chochote nchini Tanzania sio yeye tu hata mbunge Wala diwani sijawai kuona Wala kusikia yakuwa wameumwa na kulazwa kituoni hapo.

Sikuwai muona Ummy Mwalimu,enzi za ujauzito wake ila kwa umbea wa Mrisho Mpoto,(sio mume wa Ummy mwalimu),msaniii aliyebadilika Kwa sababu za utumbo wa tumbo lake na mkewe na wanawe,akaacha kuwasemea watania

Mrisho Mpoto alipo pata chance ya kutumbuiza mbele ya Hangaya Siku ya madawa ya kulevya Duniani iliyoazimishwa mkoani Arusha aliutanganzia Umma yakuwa Waziri wetu wa Afya yaani Ummy alikuwa nanayonyesha Siku Hiyo.

Swali je Ummy Mwalimu alifungulia kituo gani Cha Afya?ni hiki hiki ambacho kilitaka kumtoa roho jirani yangu AMBAYE ni mtumishi wa umma ,na ndiye aliyekuwa msimamizi mkuu wa kituo hicho Cha afya kuanzia Msingi mpaka kinakamilika na madakitari wapya wemeletwa madawa yakaja na vitendea kazi kedekede,na mwenge ukapita ukakifungua wakati huo jirani yangu anakata mauno kisa mwenge umepitisha kituo hicho?

Nimesema siii hata diwani apumzishwi hapo jaman,
Naomba niseme kweli nayo kweli iniweke huru.

Niliwai shuhudia Rais mmoja tu wa Tanzania na yeye alivyodiriki kwenda kituo.cha Afya MZENA nae alifariki Dunia.

Kisa chenyewe Cha jirani.

Sifi Leo umeamkaje jirani?
Sifi Leo akiwa getoni kwake anaitikia salamu na kumwamkia jirani

Nmeamka salama jirani shikmoo!

Marahaba?jirani anaitikia.

Naomba nikusumbue sifi Leo!(jirani anaendelea kuongea)
Sema jirani,(sifi anajibu)

Naomba unisaidie unifikishe kituo Cha afya hapo juu,
Ebo!Nini shida Tena waumwa?(sifi anauliza)?
Ndio naalisha sana na kutapika usiku kucha sijalala uwezi amini!

Jaman pole SI ungenishutua usku tukaenda hospital?(sifi anahoji)

Hapana twende Sasa hivi!
Sawa jirani mtumishi twende,umesema nikufikishe kituo Cha afya?
Hehee Tena kile nilichokisimamia Mimi mwenyewe kuanzia Msingi mpka kinakamilika, na Siku hizi kina madakitari wapya kabisa na juzi ndo kilizinduliwa na mwenge tulikesha tukiserebuka kudadeki "chezea mradi kuusimamia na kupitishwa Wewe"

Hahaha twende jirani!(sifi anakubali kumpeleka.

Safari pyuuuuu mpk kituo Cha afya kufika tu jirani mtumishi anakopokelewa kama Mh fulani
Gafla ananyanyuka na kwenda kutapika anapitiliza bafuni anaarisha
Mimi Niko nje nimekaa naona mtu anatoka bafuni amekunja sura kama kalambishwa pilipili.

Anarudi Kwa Dr anapmwa presha,anaambiwa Iko 97/160.

Anapewa horo,pilitoni na paracetamo anaambiwa arudi kwake akapumzike hizo dawa anywe Kila baada ya masaa sita.

Mimi huyo nikabeba jirani mtumishi nikamrudisha kwake akaingia ndani mi mikasepa zangu.

Laaaaulaaaa!saaa Tisa usiku sifi anagongewa mlango mgonjwa aliyeenda hosptali asubuh Kwa ugonjwa wa kuarisha na kutapika kaZidiwa tunaomba utupeleke hosptali kubwa!

Nini jaman SI alipewa horo,paracetamo na flajini hazimsaidia?

Hivi jirani mtumishi ulipimwa damu?hapana ulipimwa haja kubwa?hapana hahahahahaha hiiii ndo bongo lendi kudadeki Wewe SI ndo ulikuwa unaserebuka mwenge kupitisha kituo?

Wewe SI ndo ulisema kituo kimekamilika Kila kitu kipo?
Wewe SI ndo ulisema kituo kina madakitari bingwa Tena ukajitapa Siku ya mwenge kupitia risala uliyoisoma yakuwa madakitari bingwa walio soma Russia na Ukraine wako hapo kituoni?(ukaongeza mbwembwe eti hata wakija wagonjwa wa vita vita hao madakitari bingwa wanauwezo wa kutegua magonjwa hayo?maana wamefundishwa mpaka mbinu za kivita?

Hivi ninavyo andika ni kuwa mtumishi kalazwa hosptali kubwa amepimwa kinyesi na damu na kuchomwa sindano katulia tuliiii naona amepitiwa na usingizi nasubilia aamke nimwekeee clipu aliyoisoma siku ya mwenge aisikilize sjui atajirekebisha au la?
aisee unafuatilia ujauzito wa waziri? yaani unategemea waziri mwenye mshahara mnono akajifungulie kituo cha afya au clinic na si specialised hospital yenye madaktari bingwa?....chuki itakumaliza
 
Wewe ni kichaa Uzi wa kipuuzi uandishi wa kingumbalu huu

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Sio siri huwa una tatizo kubwa la kiuandishi. Yaani unapenda kuandika, lakini maandishi hayakupendi.
 
Back
Top Bottom