Almaarufu dereva Maralia maralia.....

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Wakuu mnamjua huyu dereva? ni maarufu sana hapa town ila sijui kama bado yupo town....anapiga ruti za feri mbagala rangi tatu....
Msela ni chizi yaani chizi haswa.....why?

huyu msela bana.....siku moja katoka feri kimazabe mazabe..full miyeyusho kwa abilia...kakata kule kavuka kule yaani ilikuwa ni khatari sana....abiria wakafunguka roho....wakafunguka kichizi msela aendeshe vizuri.....wakina mama na samaki zao walikuwa wamekaa pale mbele....basi full mikelele wanampasha.....wanamsema ovyo...mixa vijembe vya traventine.....
Nyuma kwenye dcm jamaa nao walikuwa wanawaka kichizi na kumtishia kumpa za chembe kama akiendelea kuendesha kiuchizi uchizi...
...wakuu muda woote huo jamaa kauweka kimyaaaa.....tena na akawasha fegi yake SM....hapo ndio miksa makelele kwa abiria yakaongezeka.....

Basi mchizi kufika kwa aziz alli akashuka kununua fegi akamuita konda wake pembeni akamwambia....ebana eeh konda umeshachukua hela yako??? konda akasema yah man!!! akasema...nikifika kwenye mteremko kuelekea ktm achia...yaani aruke chini uku gari ikiwa mdodo mdogo....konda akashangaa shangaa...ebo.....kwanini? akamwambia fanya hivyo!!! kumbuka suka huyu ana AKA yake anaitwa maralia maralia....anamjua suka wake ni chizi....konda akaunyuti....

Unaambiwa mchizi kufika pale kwenye kimteremko umetoka mtongani unaelekea kwenye kiwanda cha KTM....si kuna ka down fulani hivi pale? tehe tehe akapunguza kidogo...akaita kondaaaaa.....tehe tehe konda akaachia...huyo chini....suka akaweka gia akafungua mlango kisha akawaambia abiria.....si mlikuwa mnaongea ongea sana haya la kwenu hilo....akaruka tehe tehe
Abiria walidata mchuma uko moto chini unashuka chini.....ilikata kata watu miguu balaa....maralia maralia alipotea miaka mi3 mjini......huyo ndio maralia maralia bana....
 
HAHAHAHAAAAAAH MI HOI, ILA mimi nilimkuta maralia kule Naliendele mkoani Mtwara kawa mkulima, na hii ni pic yake sijui kama utamkumbuka ukimuona leo
377853_344855062207442_100000488544093_1464998_1317338984_n.jpg
 
Kama malaria malaria alitisha routr ya mbagala basi ajue kuna bingwa mwenge posta alikuwa maarufu sana sasa ni marehemu!alikuwa anaitwa TUPAC!waulize waliosoma makongo au kijiwe cha posta enzi hizo ZERO BRAIN
 
Wakuu mnamjua huyu dereva? ni maarufu sana hapa town ila sijui kama bado yupo town....anapiga ruti za feri mbagala rangi tatu....
Msela ni chizi yaani chizi haswa.....why?

huyu msela bana.....siku moja katoka feri kimazabe mazabe..full miyeyusho kwa abilia...kakata kule kavuka kule yaani ilikuwa ni khatari sana....abiria wakafunguka roho....wakafunguka kichizi msela aendeshe vizuri.....wakina mama na samaki zao walikuwa wamekaa pale mbele....basi full mikelele wanampasha.....wanamsema ovyo...mixa vijembe vya traventine.....
Nyuma kwenye dcm jamaa nao walikuwa wanawaka kichizi na kumtishia kumpa za chembe kama akiendelea kuendesha kiuchizi uchizi...
...wakuu muda woote huo jamaa kauweka kimyaaaa.....tena na akawasha fegi yake SM....hapo ndio miksa makelele kwa abiria yakaongezeka.....

Basi mchizi kufika kwa aziz alli akashuka kununua fegi akamuita konda wake pembeni akamwambia....ebana eeh konda umeshachukua hela yako??? konda akasema yah man!!! akasema...nikifika kwenye mteremko kuelekea ktm achia...yaani aruke chini uku gari ikiwa mdodo mdogo....konda akashangaa shangaa...ebo.....kwanini? akamwambia fanya hivyo!!! kumbuka suka huyu ana AKA yake anaitwa maralia maralia....anamjua suka wake ni chizi....konda akaunyuti....

Unaambiwa mchizi kufika pale kwenye kimteremko umetoka mtongani unaelekea kwenye kiwanda cha KTM....si kuna ka down fulani hivi pale? tehe tehe akapunguza kidogo...akaita kondaaaaa.....tehe tehe konda akaachia...huyo chini....suka akaweka gia akafungua mlango kisha akawaambia abiria.....si mlikuwa mnaongea ongea sana haya la kwenu hilo....akaruka tehe tehe
Abiria walidata mchuma uko moto chini unashuka chini.....ilikata kata watu miguu balaa....maralia maralia alipotea miaka mi3 mjini......huyo ndio maralia maralia bana....

abilia = abiria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom