Ally Bananga: Nafikiria kutangaza nia kuwania Ubunge Kinondoni

nimeshafatilia mikutano yake mitatu hakika siasa anaiweza anajua kujenga hoja anajua kuwa fanya wananchi wamsikilize..akipewa nafasi na chadema Bananga ni jembe
 
Kweli chadema mmeishiwa huyu bananga hata vidudu hakumaliza leo ndio anakuwa mgombea wenu na tena hapa dar hata hana makazi ya kuishi kwa mara ya kwanza aliletwa na Millya hapa mjini

Weka Cv za Ally Bananga na Idd Azza,harafu ndo tutoe maoni zaidi ya hapo wivu tu.
 
CV YA IDDI KWA WALE WENYE KUITAJI

Parliament CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1346.jpg

First Name:
Idd
Middle Name:
Mohamed
Last Name:
Azzan
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Kinondoni
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 22227, Dar es Salaam
Office Phone:
+255 713 222201/+255 754 000349
Ext.:
Office Fax:
+255 22 2170082
Office E-mail:
iazzan@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
8 July 1965

Elimu yake ya kuunga unga.
inaonekana mara baada ya kujiunga na CCM ndio akaanza kuokota kota vyeti vya hapa na pale. kutoka mwaka 1979 mpaka 2000 hajakanyaga shule yeyote.
 
Kweli chadema mmeishiwa huyu Bananga hata vidudu hakumaliza leo ndio anakuwa mgombea wenu na tena hapa Dar! Hata hana makazi ya kuishi kwa mara ya kwanza aliletwa na Millya hapa mjini

Dr Dalaly Peter Kafumu na PhD yake aliwasaidia nini CCM zaidi ya kusaini mikataba ya unyonyaji kwenye sekta ya madini? Andrew Chenge na uanasheria wake anawasaidia nini?
 
Ni kazi nzuri mwana -CDM mwenye nia ya kugombea ubunge CDM 2015 (hasa majimbo yasiyo na wabunge wa CDM) aanze kuandaa jimbo sasa ili baadaye tuweze kujiepusha na mapandikizi. Mbinu moja wanayoitegemea CCM ni kupandikiza wagombea CDM.
 
Gooooooooo kamnada ally Bananga........! Nakukubali sana jembe langu......... Kamanda unafaa sana...... Na yeyote atakayepinga hili basi ujue......... Ana lake jambo.....

Go........kamanda Ally Bananga.
 
ngoja turudi kino tutamsaidia kumwangusha azzan....kinondoni wabunge wanaokujaga wengi wao vilaza tu.....usitegeme mafanikio kwa ccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom