Ally Bananga: Nafikiria kutangaza nia kuwania Ubunge Kinondoni

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Aliyewahi kuwa kada wa CCM na mwenyekiti wa Uvccm wilaya ya Arusha Kamanda Ally Bananga amesema kuwa ameombwa na wakazi wa Kinondoni awanie Ubunge kupitia CHADEMA ila anatafakari maombi hayo.Bananga maarufu kama KINANDA majuzi alifanya mikutano ktk maeneo ya Mwenge na Mwananyamala hatua iliyoonyesha kukubalika kwake.IDD AZAN jiandae
 
safi sana. Hao wanaopata ubunge kwa mazoea wajiandae. Bado segerea kwa mpendazoe
 
Hatutaki afikirie huyo tayari mbunge wa Kinondoni twasubiri aapishe tu,Ali Bananga popote ulipo unatafutwa na wapiga kura wako ili ukamilishe kiu yao ya kuwa mbunge wao.Hilo jimbo,Segerea 2010 tuliyakosa kutokana na kutokuweka watu makini.Aliye karibu nae amwambie ya kuwa yeye tayari MBUNGE WA KINONDONI twamsubiri aapishwe tu.
 
nilimuona mwananyamala, yuko vizuri, IQ yake inastahili, very quick kufikiria , ilala na kinondozi ni majimbo yatima
 
Hatutaki afikirie huyo tayari mbunge wa Kinondoni twasubiri aapishe tu,Ali Bananga popote ulipo unatafutwa na wapiga kura wako ili ukamilishe kiu yao ya kuwa mbunge wao.Hilo jimbo,Segerea 2010 tuliyakosa kutokana na kutokuweka watu makini.Aliye karibu nae amwambie ya kuwa yeye tayari MBUNGE WA KINONDONI twamsubiri aapishwe tu.

unapapara za kipuuzi, hariri mwandiko wako, ndio uuposti...nyie ndio mnakukosti
 
Ally bananga wewe ni jembe la ukweli kwanza umetimiza itikadi ya chadema inayosema msingi wa chadema ni familia,naona umeamua kuwa na familia kwa kuishi na Hawa mwaifunga na wote ni majembe ya chadema.bigup sana ally bananga na Hawa mwaifunga nyinyi ni mfano kwa vijana wa chadema.
 
mie nikiwa ni mjumbe wa baraza la madiwani kinondoni na nikishiriki katika maendeleo na siasa za jimbo la kinondoni,nachelea kutamka kuwa jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2015,jimbo hili lina nafasi kubwa ya kuchukuliwa na upinzani,kwa kuwa mbunge aliyepo sasa ndani ya chama anapigwa na kupigana vita na madiwani wa chama chake na hivyo there is no team work,chadema tulipata kura 32000.hatukuwa na mtu kama bananga tutakapo mpata sure tuta ongeza kata nyingi kwendas upinzani kuunganisha zile za kijitonyama,tandale na makumbusho
 
Gooooooo Bananga gooooooooo we have a trust on you na bila shaka Dsm ndo bye bye hivyo kwa CCM
 
DAH!Yaani kama vile kura zipigwe kesho....go on kamanda Bananga tung'oe hayo magugu maji....
 
Kweli chadema mmeishiwa huyu bananga hata vidudu hakumaliza leo ndio anakuwa mgombea wenu na tena hapa dar hata hana makazi ya kuishi kwa mara ya kwanza aliletwa na Millya hapa mjini
 
Kweli chadema mmeishiwa huyu bananga hata vidudu hakumaliza leo ndio anakuwa mgombea wenu na tena hapa dar hata hana makazi ya kuishi kwa mara ya kwanza aliletwa na Millya hapa mjini

acha uboya wewe....huyuo chalii ya ara..anaweza.nyumba kitu gani wewe....! tunataka watu wasio na majumba ndio wenye mbinu za kutuwezesha na sisi tupate majumba.
 
Ila huwa sipendi hizi lugha za mtu kusema ameombwa, tunataka mtu ambaye ana nia ya dhati na kuwa mwakilishi wa jimbo husika.
Mtu pekee ambaye amewahi kuombwa kugombea ngazi fulani ni Dr Slaa peke yake, hata Nyerere hakuwahi kuombwa.
 
Kweli chadema mmeishiwa huyu bananga hata vidudu hakumaliza leo ndio anakuwa mgombea wenu na tena hapa dar hata hana makazi ya kuishi kwa mara ya kwanza aliletwa na Millya hapa mjini
kwani huyo Idd Azzan ana elimu gani na amewaongoza kwa miaka 10, mbona pia mnaye mganga wa kienyeji prof maji marefu darasa la nne na anaongoza jimbo na mchumi wa ccm wa wilaya ya korongwe. muache dogo aje kino kwa wajanja kama alivyo Ally Bananga.
 
thanx..izo tunaita za usso
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom