Aljazeera yachambua maandamano ya Mange, yaishangaa Serikali

Ndo uwaulize mbna hawakutoka mapovu tulikpokuwa na rais 'dhaifu' na ufisad kila kona?????
Ndugu yangu Vous kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na unaijua siasa utaelewa kwamba yule jamaa hakuwa dhaifu ila alikuwa diplomatic leader aliyekomaa, alikuwa anajua kumlainisha kila mtu na ndio maana safari zake za nje zilituletea pesa za kutosha na zilituletea wawekezaji wakubwa wengi.
So umenitatiza kidogo na wewe kuona unatumia neno "dhaifu" kama wasioijua siasa au yawezekana na wewe sio mwenyeji kidogo wa hii mambo

Au jiulize mbona hawazisemi Zambia, Botswana, Ghana, Kenya na Nk ni kwa sababu uongozi wao unafuata ethics za kisiasa na wana diplomatic leaders wanaoheshimu katiba na haki za binadamu. Vyombo vya habari kazi yao ni kuripoti habari za ulimwengu mzima it doesn't matter kama zitawafurahisha watawala wa nchi husika au lah
Kama wamefanikiwa kuvidhibiti vyombo vya habari vya ndani viandike wanayotaka wao vya nje hawawezi.
Mtaishia kuvituhumu tu lakini ndio vyombo vinavyoweza kuripoti mabaya ya awamu hii.

Vya ndani si mmevitisha, vikiandika mabaya yenu, mnavifungia na kuwalipisha faini au kodi kubwa sasa unadhani taarifa mbaya nani ataripoti kama sio aljazeera, cnn na bbc.
Ebu viacheni vifanye kazi yao
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae
We nawe! Aljazeera inaonesha vitu balanced, huko kote ulikosema watu walichoshwa na tawala. Na hata hapo Qatar wakichoshwa, Aljazeera wataonesha tu.
 
Basi Na hapa kwetu Maandamano yame fail Kama kwao Qatar Kwa kuwa hatujachoshwa Na Watawala
 
Kama ni kweli Raisi magufuli ni Muhutu basi wewe na Watanzania wote ni Subhuman!
Mkuu fatilia, coz watu tumeenda hadi rwanda, kijiji ambacho ni asili yake. Usukumani mababu zake walilowea tu. Ni sawa na wewe uzaliwe Moshi ujiite mchaga kumbe wazazi ni Wamakonde ila walienda Moshi kikazi, etc
 
Ndugu yangu Vous kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na unaijua siasa utaelewa kwamba yule jamaa hakuwa dhaifu ila alikuwa diplomatic leader aliyekomaa, alikuwa anajua kumlainisha kila mtu na ndio maana safari zake za nje zilituletea pesa za kutosha na zilituletea wawekezaji wakubwa wengi.
So umenitatiza kidogo na wewe kuona unatumia neno "dhaifu" kama wasioijua siasa au yawezekana na wewe sio mwenyeji kidogo wa hii mambo

Au jiulize mbona hawazisemi Zambia, Botswana, Ghana, Kenya na Nk ni kwa sababu uongozi wao unafuata ethics za kisiasa na wana diplomatic leaders wanaoheshimu katiba na haki za binadamu. Vyombo vya habari kazi yao ni kuripoti habari za ulimwengu mzima it doesn't matter kama zitawafurahisha watawala wa nchi husika au lah
Kama wamefanikiwa kuvidhibiti vyombo vya habari vya ndani viandike wanayotaka wao vya nje hawawezi.
Mtaishia kuvituhumu tu lakini ndio vyombo vinavyoweza kuripoti mabaya ya awamu hii.

Vya ndani si mmevitisha, vikiandika mabaya yenu, mnavifungia na kuwalipisha faini au kodi kubwa sasa unadhani taarifa mbaya nani ataripoti kama sio aljazeera, cnn na bbc.
Ebu viacheni vifanye kazi yao
Xor mkuu
Hebu angalia hlo neno dhaifu lmeandikwaje

Hawa wanasiasa wetu n uchwara kabisa mkuu
Hatuwez kuwa vinyonga kwa kaul

Jana tuliambiwa kikwete n "dhaifu" na hata tulipokuwa tunamkanushia walipinga and u might b among,leo anakuwaje diplomatic leader????

Then hvyo vyombo havikuona ufisad na udhaifu wa awamu ya nne

Kwann tusiamin kuwa nyuma ya vyombo hiv kuna maslah ya nch na makampun ya kiuchum/biashara ambayo yameathirika na hatua za serikal

Tuna orodha ya majarida anuai yamefikia hadi hatua ya kudhihaki viongoz wetu,yakihaha kuuaminisha ulimwengu kuwa magu z nothing but a wrong???

N kwel kuwa magu hana jema, yan hafai hata kwa kulumangia??

By the way mkuu mimj si mwanasiasa, sipend siasa
Sina chama cha siasa so wud u pleas not use lugha ya kunijumuisha like "yenu,nyie ccm"

Lets be analytical, lets be objective
 
Kasome motive za kuanzisha hizo radio huku ukikumbuka Moja ya features za Imperialism ni ku control uwezo WA kufikiri Na kuwaza Watu wengine
Unataka kusema kwamba Ujamaa ndiyo unafanya watu wafikiri kwa Uhuru eti eeh ???
 
Mkuu fatilia, coz watu tumeenda hadi rwanda, kijiji ambacho ni asili yake. Usukumani mababu zake walilowea tu. Ni sawa na wewe uzaliwe Moshi ujiite mchaga kumbe wazazi ni Wamakonde ila walienda Moshi kikazi, etc

Na ndo maana nikasema kama ni kweli tunaongozwa na Mnyarwanda basi wewe na Watanzania wote ni Subhuman!
 
Mkuu fatilia, coz watu tumeenda hadi rwanda, kijiji ambacho ni asili yake. Usukumani mababu zake walilowea tu. Ni sawa na wewe uzaliwe Moshi ujiite mchaga kumbe wazazi ni Wamakonde ila walienda Moshi kikazi, etc
Ni kweli kabisa
 
Xor mkuu
Hebu angalia hlo neno dhaifu lmeandikwaje

Hawa wanasiasa wetu n uchwara kabisa mkuu
Hatuwez kuwa vinyonga kwa kaul

Jana tuliambiwa kikwete n "dhaifu" na hata tulipokuwa tunamkanushia walipinga and u might b among,leo anakuwaje diplomatic leader????

Then hvyo vyombo havikuona ufisad na udhaifu wa awamu ya nne

Kwann tusiamin kuwa nyuma ya vyombo hiv kuna maslah ya nch na makampun ya kiuchum/biashara ambayo yameathirika na hatua za serikal

Tuna orodha ya majarida anuai yamefikia hadi hatua ya kudhihaki viongoz wetu,yakihaha kuuaminisha ulimwengu kuwa magu z nothing but a wrong???

N kwel kuwa magu hana jema, yan hafai hata kwa kulumangia??

By the way mkuu mimj si mwanasiasa, sipend siasa
Sina chama cha siasa so wud u pleas not use lugha ya kunijumuisha like "yenu,nyie ccm"

Lets be analytical, lets be objective
Mkuu mimi though sina chama ila nilimfanyia kampeni na nilimpigia kura but he turned us, ishu sio ufisadi hapa huo upo kila mahali hata Kenya, South africa upo lakini chumi zao zinazidi kupaa.
Fanya analysis kwenye maeneo haya alafu uje uniambie nani alikuwa kiongozi mwerevu between 3,4 and 5;-

1.Ukuaji wa uchumi
2.Wawekezaji wa kigeni
3.Per capital income
4.Uhuru wa kujieleza(kushauri
na kukosoa serikali)
5.Uhuru wa vyombo vya siasa
6. Urafiki na ushirikiano na mataifa yote
7.Kuheshimu haki za binadamu
8. Bunge na Mahakamu huru
9.Uhuru wa vyama vya siasa
10.Kuheshimu katiba
 
Mkuu panua wigo wako na ufikiri nje ya box, unafikiri unawajua hao masheikh zaidi ya serikali?,hao watu wa Cocobeach kwenye viloba unajua vizuri story yao au unasikiliza story za wanasiasa?,. Ishu hapa ni maandamano ya Mange yamefeli na atazidi kuchemka tu.Nchi zote na mashirika ya kimataifa yana wawakilishi hapa.Huyo Mange sijui Aljazeera wote ni mapandikizi ya mabeberu ila hapa TZ wameingia choo cha kike.

Wewe unayefiki nje ya hilo box lako ,hiyo serikali yako ni mungu hata wajue kila kitu ?? Mbona wanashindwa kupeleka huo ushahidi mahakamani huu unaingia mwaka wa tano?? Ni kweli kimambi ameshindwa kwani CCM inapendwa na watu na wale maaskari wao wanaowatumia walikuwa makambini wakila ugali na wale watu wao wasiojulikana wao walikuwa wakinywa bia ununio kwa Raha zao
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae
Waendelee kuchochea
 
Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..
Kama kuna upuuzi hapa, basi ndio huu ulioleta wewe.
Sio wote tumeumbwa kushangilia tu kila ujinga unalotetwa na so called serikali.
Watu kama wewe walikuwa kidogo sana wakati ule wa kupigania uhuru, kinyume chake hadi leo tungalikuwa runatawaliwa.
 
Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..

Kama Watanzania hawawezi kuandamana, na ninyi mnalijua hilo, MAJESHI YENYE SILAHA ZA KIVITA BARABARANI YA NINI? KIPIGO CHA MBWA KOKO KINATOKA WAPI? KWA NINI MSI RELAX TU MKAWAACHA WATU WAAMUE WAO WENYEWE KUACHA?

SHETANI NDIYE BABA WA UONGO!.
 
Back
Top Bottom