Aljazeera English inapigwa spana sana mitandaoni tatizo nini?

Acha propaganda za kigaidi

Ubalozi wa israeli upo active na unafanya kazi

Rais wa brazil alipata joto la jiwe kwa wapiga kura baada ya comment yake kuhusu vita ya magaidi ya Hamas na israeli
We habari hutizami tizama habari uache stori za vijiweni.
Balozi wa Israel kapigwa marufuku kurudi Brazil.
Wewe kaa tu danganyana na wanywa kahawa wenzako hapo kijiweni.
 
Tatizo lako ni mmoja unapenda fact kuhusu palestine na hupendi fact kuhusu gaza

Palestine tatizo lake ni moja tu

Hataki kutambua km israeli ni nchi tena nchi kongwe zaidi duniani

Adui km huyu sio wa kumchekea

Israeli imeporwa sana mipaka yake kutokana una uvamizi wa waarabu hata maeneo ya sasa ya jordan,syria saudi arabia ilikuwa miliki ya wayahudi kabla waarabu hawajaanza kufanya ugaidi
Hivi unajielewa hata unachozungumza??
Gaza inaongozwa na Hamas ila iko chini ya Occupied West bank we kijana.
Halafu ona ulivyokua hujielewi.
RAMALLAH NA JENIN NI ISRAEL??
TOKA LINI RAMALLAH NA JENIN KUKAWA ISRAEL??
Hata mipaka ya Israel huijui.
Ramallah na Jenin iko chini ya West bank(Palestine) Israel anavunja nyumba na ukuta wa mpaka kuongeza mpaka wa Isrsel sijui kama unalijua hili.

Ooh sawa unataka tuzungumzie Gaza tu,ila shutuma za watoto kunyanyaswa katika jela za kijeshi hutaki kugusia.
Aya unafahamu kuwa toka 2005 Gaza iliwekewa vikwazo ardhini,angani na baharini??
Unafahamu kuwa 1948 Gaza ilivamiwa na kupunguzwa mipaka kipindi ambacho Yasser Arafat ameenda UN head quarters kuhangaika kutambulika kwa Palestina??
 
Acha propaganda za kigaidi

Ubalozi wa israeli upo active na unafanya kazi

Rais wa brazil alipata joto la jiwe kwa wapiga kura baada ya comment yake kuhusu vita ya magaidi ya Hamas na israeli
Nina mashaka na uwezo wako wa akili.
Hii ni taarifa ya tarehe 25 mwezi huu mwaka huu.Yani taarifa ya juzi jumanne.
Screenshot_2024-03-28-17-07-29-90_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-28-17-08-23-48_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-28-17-09-26-09_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Tatizo lako ni mmoja unapenda fact kuhusu palestine na hupendi fact kuhusu gaza

Palestine tatizo lake ni moja tu

Hataki kutambua km israeli ni nchi tena nchi kongwe zaidi duniani

Adui km huyu sio wa kumchekea

Israeli imeporwa sana mipaka yake kutokana una uvamizi wa waarabu hata maeneo ya sasa ya jordan,syria saudi arabia ilikuwa miliki ya wayahudi kabla waarabu hawajaanza kufanya ugaidi
😂😂😂😂😂😂😂 Msikieni huyu anaongea nini!!!
Mimi tena sipendi fact kuhusu Israel???
Nina maswali matatu basi tujadiliane mdogo mdogo.
1)Umesema waarabu walifanya ugaidi wakapora mipaka ya Israel,naomba unitajie mwaka na majina ya vita na maeneo waarabu waliyopora ya Israel??
2)Naomba ushahidi kuwa waarabu(ikiwemo Palestina) walikataa kuitambua Israel??
3)Unaijua ramani aloikata Great Britain ya kuigawa ardhi kati ya Palestina na Israel??

Blunder nyingine,Saudi arabia ni mbali na Israel na Saudi Arabia hachangii mipaka na Israel,je aliporaje mipaka ya Israel??

Unaweza pia kunitajia Israel ilikua inaitwaje huko nyuma na ilitawaliwa na nani??

Twende taratibu kaka ki facts kama ulivyotaka.
 
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli

Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao

Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa israeli ni makatili ila wananzengo wanampiga spana za kutosha kuwa magaidi wa hamas ndio chanzo

Waarabu hadi wameikimbia aljazeera English wameenda kucoment alkbar kwenye aljazeera arab

Wamebaki hindu, westernized black na few mandeira wanawapiga spana aljazeera

My take: Aljazeera iache kutunga habari za uongo ijikite kwenye fact itaheshimika duniani

Otherwise BBC, Reuters ndio wataendelea ku kukimbiza duniani.
Shule ina umuhimu sana kuliko dini waQatar wakikazania hapo watafika mbali. Huwezi kupata ubora kwa kutumia fedha tu pekee yake. Inabidi ujue elimu ya kujua kilicho bora. Hapo ndio utapata what your money's worth.
 
Britain unaongelea juzi apa karne ya jana?

Israeli ametawaliwa na falme nyingi uingereza ni juzi tu apo

Msikieni huyu anaongea nini!!!
Mimi tena sipendi fact kuhusu Israel???
Nina maswali matatu basi tujadiliane mdogo mdogo.
1)Umesema waarabu walifanya ugaidi wakapora mipaka ya Israel,naomba unitajie mwaka na majina ya vita na maeneo waarabu waliyopora ya Israel??
2)Naomba ushahidi kuwa waarabu(ikiwemo Palestina) walikataa kuitambua Israel??
3)Unaijua ramani aloikata Great Britain ya kuigawa ardhi kati ya Palestina na Israel??

Blunder nyingine,Saudi arabia ni mbali na Israel na Saudi Arabia hachangii mipaka na Israel,je aliporaje mipaka ya Israel??

Unaweza pia kunitajia Israel ilikua inaitwaje huko nyuma na ilitawaliwa na nani??

Twende taratibu kaka ki facts kama ulivyotaka.
 
Ni eidha nafanya mjadala na kijana au mr terrorist propaganda

Go and check your fact
Aiseee ttttttt.
Unaletewa mpaka ushahidi bado unaupinga??
Nimegundua kitu kimoja kwako ama viwili.
1)Umemezeshwa stori nyingi halafu ukaziamini na hautaki kuamini tofauti na ulivyoaminishwa.
2)Wewe sio mfuatiliaji taarifa huwa ni mdandia taarifa za mkumbo.
Badilika na ukubali kutafuta maarifa mapya.
Mfano mdogo ni pale ulipotaja Saudi Arabia alipora mipaka ya Israel ilhali Israel na Saudi Arabia hazichangii mipaka ni mbali mbali.

Wacha niku ignore niendelee na mijadala na watu wengine.

Badilika kwanza ili uruhusu maarifa mapya na uwe mfuatiliaji taarifa sio mmezeshwa taarifa.
 
Britain unaongelea juzi apa karne ya jana?

Israeli ametawaliwa na falme nyingi uingereza ni juzi tu apo
Kasome aisee ngojea nikuache.

Nimemaliza mjadala na wewe maana maswali haujibu unakimbilia maneno ambayo ni factless.
 
Kuchangia mpaka ndio sababu?

We kijana unauwezo mdogo

Wanaomezeshwa chuki ni vijana wa kipalestina
Wanakuwa wanawaza kufanya mauaji kwa wayahudi

Aiseee ttttttt.
Unaletewa mpaka ushahidi bado unaupinga??
Nimegundua kitu kimoja kwako ama viwili.
1)Umemezeshwa stori nyingi halafu ukaziamini na hautaki kuamini tofauti na ulivyoamini.
2)Wewe sio mfuatiliaji taarifa huwa ni mdandia taarifa za mkumbo.
Badilika na ukubali kutafuta maarifa mapya.
Mfano mdogo ni pale ulipotaja Saudi Arabia alipora mipaka ya Israel ilhali Israel na Saudi Arabia hazichangii mipaka ni mbali mbali.

Wacha niku ignore niendelee na mijadala na watu wengine.

Badilika kwanza ili uruhusu maarifa mapya na uwe mfuatiliaji taarifa sio mmezeshwa taarifa.
 
Sitazami al jazeera tv ya kibaguzi kila siku kuonyesha kasoro zilizilopo nchi zenye wakristo, wayahudi, wahindu na waafrika ila kwa waarabu hawakosoi.
 
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli

Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao

Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa israeli ni makatili ila wananzengo wanampiga spana za kutosha kuwa magaidi wa hamas ndio chanzo

Waarabu hadi wameikimbia aljazeera English wameenda kucoment alkbar kwenye aljazeera arab

Wamebaki hindu, westernized black na few mandeira wanawapiga spana aljazeera

My take: Aljazeera iache kutunga habari za uongo ijikite kwenye fact itaheshimika duniani

Otherwise BBC, Reuters ndio wataendelea ku kukimbiza duniani.
Waarab kwa unafiki na uwongo ni asili yao, hakuna maajabu hapa
 
we ulieandika ndio ujielew habar kila m1 anavutia kwake wamagharib wanavutia habar zao uwez kuona wanaandk mambo yakuchafua washirika wao na RT aljazeera ccctv na souz au uganda nchi ambaz azfngaman na westen wanaponda upande wa uku aljazeera nao wanafchua uov wa wazungu ht kpnd saudia imemuua kashog vyombo vya kzungu bbc cnn vilishupalia pia so mamb ndo yapo ivo we ukitak habar za kukufuraisha kuhus israel chek cnn na bbc achan na aljazira uwez kuta wanaonyesha watu wa gaza
 
BBC na Reuters ni vyombo vya habari vinavyoaminika duniani na utasikia ikisemwa, "kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la utangazaji la Uingereza BBC au na shirika la habari la Reuters la Uingereza," basi kila moja anafahamu vizuri kwamba sio taarifa ya kibabaishaji bali ni taarifa za uhakika kabisa.
Sahihi
 
Historia haikuanzia oktoba 7.
-Nilikuuliza unafahamu kama kila mwaka Israel hukamata watoto wa kipalestina chini ya umri wa miaka 14 na kuwatesa jela za kijeshi.
-Unafahamu kuwa kila mwaka Israel hubomoa nyumba za Wapalestina kutanua makazi ya wayahudi??
-Unafahamu kuwa September na August Israel kupitia jewish settlers na IDF walianza kubomoa na kuunguza mashamba ya wapalestina Ramallah na Jenin??
Kwahiyo unataka kusema hayo matatizo yote yaliyotokea Hamas hawakustahili kulipiza kisasi??

Hukunipa jibu hata la swali moja kati ya haya yote.
Nipe jibu ndio tuendelee majadiliano mengine.

Una matatizo ya kiakili wewe.
Walokolo wnataabu sana wao wakisikia myahudi wako tiari kuwakabidhi hata wake zao ili wapate baraka za mwizrai yaa ni shida tupu
 
Back
Top Bottom