Aljazeera English inapigwa spana sana mitandaoni tatizo nini?

We jamaa huwa unafurahisha ukiongea kama unajua kumbe hakuna kitu.
Nenda katizame kama Brazil,Colombia,Venezuela kama kuna Israel Embassy katika hayo mataifa ongezea na Cuba.
Jordan imefunga balozi ya Israel sawia na Qatar yenyewe na Saudi Arabia amefuta muswada wa kuitambua Israel pale middle east.
Uwe unafuatilia habari sio kukurupuka.
Belgium na Spain wanashinikiza kila leo bunge lipige kura kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel.
Kwahyo kwako hii ndio dunia???😂😂😂😂
Zina influence gan kwene global politics
 
Attachments

  • A448775E-A01A-458D-9A08-AC0D27788CAA.jpeg
    A448775E-A01A-458D-9A08-AC0D27788CAA.jpeg
    589.4 KB · Views: 1
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli

Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao

Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa israeli ni makatili ila wananzengo wanampiga spana za kutosha kuwa magaidi wa hamas ndio chanzo

Waarabu hadi wameikimbia aljazeera English wameenda kucoment alkbar kwenye aljazeera arab

Wamebaki hindu, westernized black na few mandeira wanawapiga spana aljazeera

My take: Aljazeera iache kutunga habari za uongo ijikite kwenye fact itaheshimika duniani

Otherwise BBC, Reuters ndio wataendelea ku kukimbiza duniani.
Muulize Mu-Israel, maana haelewi kwanini vyombo vyote vya habari vimekimbia Gaza. Huko wamebaki ALJAZEERA peke yao wanaoonyesha kila tukio.
Ni kiongozi gani atapenda hayo. Unawavua nguo wakubwa.
 
Kwahyo kwako hii ndio dunia???😂😂😂😂
Zina influence gan kwene global politics
Ukaitoa Brazil na Spain na Belgium?
Ukaitoa Qatar na Jordan na Saudi Arabia au siyo?
Unajua influence ya Turkiye kwa Arab islamic states??
Hivi ulishajiuliza kwanini Netanyahu aliposikia Erdogan anaiunga mkono Palestina alituma muwakilishi haraka sana Ankara kwenda kuzungumza?
Unajua kwanini??
Umejisahaulisha kwamba South Africa ipo G20 kama sijakosea na ndio nchi iliompeleka mahakamani Israel ICJ na ushahidi mwingi kugundulika ana hatia na dunia nzima kushuhudia hatia ya Israel kupitia huo ushahidi.
Ni hiyo South Africa unayoizungumzia.
Brazil kwa kufunga balozi na Israel ameziamsha nchi nyingi sana za South America na punde si punde kwa US kuitetea Israel inaenda kupoteza influence kwa mataifa ya South America yakiongozwa na Venezuela na Cuba.
Unajua kuna athari gani Qatar,Saudi Arabia na Jordan kuikecha Israel middle east??
Hao ndio majirani ambao wana influence middle east,unadhani Israel atakua na maisha mazuri kwa kutokua na majirani wema kwake??
Au unadhani USA ina nguvu ya kuleta siasa kandamivu kama kipindi cha 1970s?
Hao majirani ilikua wanunue mpaka teknolojia zake ikiwemo ya silaha,sasa hivi wamemgeukia Iran kununua teknolojia mbalimbali ya kwanza ikiwa ya silaha.
Hatokua na maisha mazuri ya amani kila siku atakua mtu anayehitaji nguvu nyingi ili ale wali kwa amani maana ashatibuana na majirani.
Wakati huo huo USA na UK raia wao wanaandamana kodi zao ziache kutumika kufadhili vita zisizowapa manufaa.
UNAFAA KUITWA MTOTO KATIKA MASUALA YA KIDIPLOMASIA TENA MTOTO SANA.
 
Marekani anachowaza ni kupiga dollar za mwarabu
Hiko chombo unachokiita cha propaganda za kigaidi kuna Wamarekani ndio waratibu wa vipindi vikuu vya Aljazeera English kina Kimberley Halkett.
Basi itakua labda wenyewe Wamarekani wameamua kuanzisha propaganda za kigaidi ndani ya Aljazeera.
Hiko chombo pia kimepokea tuzo kedekede cha kuwa chombo bora cha habari.
Ila kwasababu we ni kijana brainwashed na story za vijiwe vya kahawa wacha tukusamehe tu.
 
Kwahiyo Spain inawapenda sana waarabu
Hawajielewi hawa.
Mtu anasema eti dunia iko upande wa Israel akati Spain tu katoka kuhimiza bunge lipige kura za kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel.
 
Brazil ubalozi upo kilichotokea ni balozi aliyekuwepo wa israeli binafsi aliingia mgogoro na serkali

Colombia na venezuela ubalozi upo

Kuna waarabu wa palestine walihamia amerika ya kusini miaka ile la wimbi la waarabu kutapakaa amerika ya kusini ndio hao huwa wanapiga kelele kuunga magaidi ya Hamas
We jamaa huwa unafurahisha ukiongea kama unajua kumbe hakuna kitu.
Nenda katizame kama Brazil,Colombia,Venezuela kama kuna Israel Embassy katika hayo mataifa ongezea na Cuba.
Jordan imefunga balozi ya Israel sawia na Qatar yenyewe na Saudi Arabia amefuta muswada wa kuitambua Israel pale middle east.
Uwe unafuatilia habari sio kukurupuka.
Belgium na Spain wanashinikiza kila leo bunge lipige kura kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel.
 
Brazil ubalozi upo kilichotokea ni balozi aliyekuwepo wa israeli binafsi aliingia mgogoro na serkali

Colombia na venezuela ubalozi upo

Kuna waarabu wa palestine walihamia amerika ya kusini miaka ile la wimbi la waarabu kutapakaa amerika ya kusini ndio hao huwa wanapiga kelele kuunga magaidi ya Hamas
😂😂😂😂😂😂Masikini pole sana huwa hutizami habari.
Lula Da silva raisi wa Brazil alitamka wazi akisema kuwa mauaji ya Gaza kwa jeshi la IDF ni mauaji ya kimbali/halaiki.
INAMAANA LULA DA SILVA MWARABU ALIYEHAMIA BRAZIL NA KUWA RAISI??
Pia usisahau balozi wa Brazil alirudishwa Brazil na wa Israel alipoondoka Lula Da Silva amempiga marufuku kurudi Brazil.
Je huko sio kuvunja uhusiano wa Kidiplomasia??
Soma eneo nililolizungushia alama nyekundu.
Screenshot_2024-03-28-14-43-55-57_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Brazil ubalozi upo kilichotokea ni balozi aliyekuwepo wa israeli binafsi aliingia mgogoro na serkali

Colombia na venezuela ubalozi upo

Kuna waarabu wa palestine walihamia amerika ya kusini miaka ile la wimbi la waarabu kutapakaa amerika ya kusini ndio hao huwa wanapiga kelele kuunga magaidi ya Hamas
Colombia na Venezuela ubalozi haufanyi kazi ni disfunctional kijana.
We kama hutizami habari shauri yako.
 
Kwahiyo Spain inawapenda sana waarabu
Brazil ubalozi upo kilichotokea ni balozi aliyekuwepo wa israeli binafsi aliingia mgogoro na serkali

Colombia na venezuela ubalozi upo

Kuna waarabu wa palestine walihamia amerika ya kusini miaka ile la wimbi la waarabu kutapakaa amerika ya kusini ndio hao huwa wanapiga kelele kuunga magaidi ya Hamas
Kwani mtu kumtetea mtu ndio kusema ana mahaba nae??
Point yako nini?
Kinachotizamiwa ni haki za kibinadamu,kwani waarabu sio binadamu??
Kwani Spain haijui toka enzi Wapalestina wanapitia nini??
"Kama UN na veto members wanashindwa kutenda usawa na kuidhibiti Israel unadhani kutakua kuna one world order??
Je ikitokea serikali kama ya Israel itaweza zuiwa kama Israel haitazuiwa??"
Maneno ya waziri wa mambo ya nje wa Spain haya.
 
Lkn ktk historia mwispania kaangamiza waarabu wengi sana kuliko israeli

Acha porojo zako kijana

Ubalozi upo brazil,upo venezuela upo colombia

Maoni ya Rais hayawezi kuvunja diplomasia kirahisi hivyo

Ndio maana South Africa iliishitaki israeli mahakama ya icj lkn wananchi wa south africa wakaitisha maombi ya kitaifa kuiombea Israeli

Colombia na Venezuela ubalozi haufanyi kazi ni disfunctional kijana.
We kama hutizami habari shauri yako.
 
Lkn ktk historia mwispania kaangamiza waarabu wengi sana kuliko israeli
Hilo linafahamika.
Kipindi ambacho Hispania/Spaniards wanapigana na waarabu ilikua kipindi cha kutafuta uhuru dhidi ya utawala wa Moors(waarabu koko).
-Kipindi cha kuvunja dola ya Ottoman.
-Kipindi cha kugombania visiwa na Algeria na Morocco.
-Kipindi cha kugombaniana utawala wa mediterranean sea.
Ulitegemea watu wasiuane hapo bro??
Embu fananisha hizo sababu za Spaniards kupigana na waarabu na ilikua zama gani na fananisha na sababu za Israel na zama zake.
Zama hizo zilikua survival of the fittest,mwenye nguvu ndio anatawala.
Sio sasa hivi zama za kuheshimu mipaka na diplomasia.
 
Acha porojo zako kijana

Ubalozi upo brazil,upo venezuela upo colombia

Maoni ya Rais hayawezi kuvunja diplomasia kirahisi hivyo

Ndio maana South Africa iliishitaki israeli mahakama ya icj lkn wananchi wa south africa wakaitisha maombi ya kitaifa kuiombea Israeli
Acha kuwa na kichwa maji.
Hata Amman ubalozi wa Israel upo lakini umefungwa.
Jengo lipo ila Israel officials hawapo.
Vivyo hivyo na Colombia pamoja na Brazil.
Halafu raia wachache sana wa South Afrika walisimama na Israel,kaa ufuatilie,wengi wao waliiponda Israel.
Embu nenda kaangalie kama balozi wa Israel karudi Brazil.
Ubalozi upo ila balozi amepigwa marufuku kurudi.
Uwe unaelewa ukisoma.
 
Wewe kijana ni mjinga sana

Balozi hizo zipo active acha terrorist propaganda km ndugu zako aljazeera

Haya yote yasingetokea km magaidi ya Hamas yasingetokea ugaidi October 7

Hamas ungekuwa inaheshimu utawala wa sheria isingeua watu kwa kuwavizia vile

Wamechokoza wanastahili kulipa

Hata hivyo israeli wamekuwa waungwana sana wanachagua pa kupiga la sivyo wangetekezwa hao magaidi wa hamas
Hilo linafahamika.
Kipindi ambacho Hispania/Spaniards wanapigana na waarabu ilikua kipindi cha kutafuta uhuru dhidi ya utawala wa Moors(waarabu koko).
-Kipindi cha kuvunja dola ya Ottoman.
-Kipindi cha kugombania visiwa na Algeria na Morocco.
-Kipindi cha kugombaniana utawala wa mediterranean sea.
Ulitegemea watu wasiuane hapo bro??
Embu fananisha hizo sababu za Spaniards kupigana na waarabu na ilikua zama gani na fananisha na sababu za Israel na zama zake.
Zama hizo zilikua survival of the fittest,mwenye nguvu ndio anatawala.
Sio sasa hivi zama za kuheshimu mipaka na diplomasia.
 
Haya yote yasingetokea km magaidi ya Hamas yasingetokea ugaidi October 7

Hamas ungekuwa inaheshimu utawala wa sheria isingeua watu kwa kuwavizia vile

Wamechokoza wanastahili kulipa

Hata hivyo israeli wamekuwa waungwana sana wanachagua pa kupiga la sivyo wangetekezwa hao magaidi wa hamas
Historia haikuanzia oktoba 7.
-Nilikuuliza unafahamu kama kila mwaka Israel hukamata watoto wa kipalestina chini ya umri wa miaka 14 na kuwatesa jela za kijeshi.
-Unafahamu kuwa kila mwaka Israel hubomoa nyumba za Wapalestina kutanua makazi ya wayahudi??
-Unafahamu kuwa September na August Israel kupitia jewish settlers na IDF walianza kubomoa na kuunguza mashamba ya wapalestina Ramallah na Jenin??
Kwahiyo unataka kusema hayo matatizo yote yaliyotokea Hamas hawakustahili kulipiza kisasi??

Hukunipa jibu hata la swali moja kati ya haya yote.
Nipe jibu ndio tuendelee majadiliano mengine.

Una matatizo ya kiakili wewe.
 
Wewe kijana ni mjinga sana

Balozi hizo zipo active acha terrorist propaganda km ndugu zako aljazeera
We habari hutizami tizama habari uache stori za vijiweni.
Balozi wa Israel kapigwa marufuku kurudi Brazil.
Wewe kaa tu danganyana na wanywa kahawa wenzako hapo kijiweni.
 
Usichanganye vitu viwili tofauti

Hapa tunazungumzia Gaza na sio Jerusalem

Km israeli alikuwa anapanua makazi maendeo ya israeli kwanini magaidi ya gaza ndio yaue watu kwa kuvizia
Historia haikuanzia oktoba 7.
-Nilikuuliza unafahamu kama kila mwaka Israel hukamata watoto wa kipalestina chini ya umri wa miaka 14 na kuwatesa jela za kijeshi.
-Unafahamu kuwa kila mwaka Israel hubomoa nyumba za Wapalestina kutanua makazi ya wayahudi??
-Unafahamu kuwa September na August Israel kupitia jewish settlers na IDF walianza kubomoa na kuunguza mashamba ya wapalestina Ramallah na Jenin??
Kwahiyo unataka kusema hayo matatizo yote yaliyotokea Hamas hawakustahili kulipiza kisasi??

Hukunipa jibu hata la swali moja kati ya haya yote.
Nipe jibu ndio tuendelee majadiliano mengine.

Una matatizo ya kiakili wewe.
 
Usichanganye vitu viwili tofauti

Hapa tunazungumzia Gaza na sio Jerusalem

Km israeli alikuwa anapanua makazi maendeo ya israeli kwanini magaidi ya gaza ndio yaue watu kwa kuvizia
Hivi unajielewa hata unachozungumza??
Gaza inaongozwa na Hamas ila iko chini ya Occupied West bank we kijana.
Halafu ona ulivyokua hujielewi.
RAMALLAH NA JENIN NI ISRAEL??
TOKA LINI RAMALLAH NA JENIN KUKAWA ISRAEL??
Hata mipaka ya Israel huijui.
Ramallah na Jenin iko chini ya West bank(Palestine) Israel anavunja nyumba na ukuta wa mpaka kuongeza mpaka wa Isrsel sijui kama unalijua hili.

Ooh sawa unataka tuzungumzie Gaza tu,ila shutuma za watoto kunyanyaswa katika jela za kijeshi hutaki kugusia.
Aya unafahamu kuwa toka 2005 Gaza iliwekewa vikwazo ardhini,angani na baharini??
Unafahamu kuwa 1948 Gaza ilivamiwa na kupunguzwa mipaka kipindi ambacho Yasser Arafat ameenda UN head quarters kuhangaika kutambulika kwa Palestina??
 
Back
Top Bottom