Technophilic Sentinel
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,352
- 3,584
Kwahyo kwako hii ndio dunia???😂😂😂😂We jamaa huwa unafurahisha ukiongea kama unajua kumbe hakuna kitu.
Nenda katizame kama Brazil,Colombia,Venezuela kama kuna Israel Embassy katika hayo mataifa ongezea na Cuba.
Jordan imefunga balozi ya Israel sawia na Qatar yenyewe na Saudi Arabia amefuta muswada wa kuitambua Israel pale middle east.
Uwe unafuatilia habari sio kukurupuka.
Belgium na Spain wanashinikiza kila leo bunge lipige kura kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel.
Zina influence gan kwene global politics