TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,466
17,308
Vihoja.jpg

Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.

Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.

Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la Kenya, KBC Chaneli 1.

Bwana Gibson ndie alikua mwendesha mashtaka mkuu wa hicho kipindi cha burudani.

Pumzika kwa amani bwana Gibson. Umenifurahisha sana enzi zako ukiwa na team yako kina olekzanda Josephat, Ondieki, Makoha, na wengine.

MKUU FWATILIA CONT ZA RAMBIRAMBI TUNATUMA WAPI MWAMBA NILIMPENDA SANA VIOJA VYAKE DAH
RIP G
Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.

Bwana Gibson ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.

Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la Kenya, KBC Chaneli 1.

Bwana Gibson ndie alikua mwendesha mashtaka mkuu wa hicho kipindi cha burudani.

Pumzika kwa amani bwana Gibson. Umenifurahisha sana enzi zako ukiwa na team yako kina olekzanda Josephat, Ondieki, Makoha, na wengine.

Mzee Ojwang mnamkumbuka?

Alikua na kipindi chake cha vitimbi😂.

Alikua na mke wake anaitwa mama Kayayee na mchepuko wake mama kaninii.

Ilikua nikiangalia vitimbi na kisha vioja mahakamani basi roho yangu inatakasika kabisa.

Kama furaha inaongeza ama kusogeza maisha mbele basi hawa watu wana mchango wao kwenye maisha yangu nitakayoisho hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom