Aliyetorosha wanyama hai 130 akutwa na noti bandia.

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,244
Yule mtuhumiwa wa kutorosha wanyama 130 wakiwa hai na kusababisha WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTIKISIKA anaefahamika kwa jina la KAMRANI AHMED amekamatwa na noti bandia za kiasi cha sh.18 milioni.
Tukio hlo lilitokea wiki jana baada ya polisi kupata taarifa kutoka kwa Raia wema.
Fedha hzo zilikua zimetolewa nchini Kenya na kupitishwa namanga na zlikua zinapelekwa kufanyiwa biashara akishirikiana na mwenzake ambaye ni NICK JOSEPH mkazi wa kijenge jijini Arusha.
Watu hao walikamatwa eneo la mto Nduruma barabara ya moshi Arusha wakiwa na gari T 512 BVG TOYOTA MARK II.
HIVI MBONA HUYU NDUGU BIASHARA ZAKE NI HARAMU TU KWANINI ASIRUDISHWE KWAO PAKISTANI KESI YA WANYAMA INASUASUA BADO ANA HII TUTASIKIA KESHOKUTWAANAIBUKA NA LINGINE. HAPA KUNA WATU WANAMLINDA SI BURE.
 
Kamran akamatwe? Na serikali ipi..chunguza vizuri taarifa yako labda wamemfananisha.!
 
Sidhani kama ni yeye maana jk ningemkuta tz. Haya majamaa yamegeuza tz shamba la bib poor on you magamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom