Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 997
- 2,933
Nani atawapa kibali? Gazeti letu tu limefungiwa itakuwa redio?Kamanda, hivi chama chetu kina mpango kweli wa kuanzisha angalau karedio ili iwe rahisi kuwasiliana na wananchi ambao ndo wapiga kura? Nauliza swali tu!