Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
Wenzenu siku hizi hata wakikaribishana "dinner" ati wameanzisha masharti lazima iwe kama buffet (tamka bufe..!) ili chakula kionekane kilipo na wote wachukue chakula hicho hicho.. mambo ya kuletewa chakula mezani hawataki tena...
wanaishi kiwoga woga tu..!
wanaishi kiwoga woga tu..!