Haaa! hivi leo ndo wachaga wameongoza kwenye necta, manake this is a routine kwa watu from Mara na huwa hawaweki mabango.
Siri ni ndizi na kitimoto......
nina chuo changu marekani
nimeamua kumtunuku dr andrew swai jioni hii kwa kweli amenifurahisha
hivi ndugu zetu mbona yale majina 10 bora majina yetu ayawapo ama atusomi embu tuwekeni sawa ama watoto wetu wakionwa majina yao rashd..nk mnatukaata maksi jamani ??
Alikudanganya nani?kama siri ndo hiyo basi kila mwaka wangetawala wachaga.Mara ngapi sisi wa kanda ya ziwa wenye yale majina mabaya mabaya tunakamata u T.O na wala hatushiki tarumbeta?.Hongera dogo Andy 1 kwa kuukwaa u T.O,umefaulu kwa juhudi zako masomoni na wala si kwa kula ndizi na kitimoto.Lisha mwanao mi-ndizi mpaka avimbiwe halafu muache alale,atapata div 1 kali sana.Siri ni ndizi na kitimoto......
Mwambie huyo,na kule kinachotumika zaidi ni nyama!Haaa! hivi leo ndo wachaga wameongoza kwenye necta, manake this is a routine kwa watu from Mara na huwa hawaweki mabango.
Mkuu Diddy,umetaja vitengo kama tra,ikulu na bandari.SWALI;Unamaanisha hivi ni vitengo vinavyohitaji watu wenye akili sana au ni kwamba imetokea bahati kwamba toka enzi za kambarage kuna wachaga walitangulia sekta hizi na ndo chain ya kuvutana inaendelea mpaka leo?Kwanza hongera kwa shemeji zangu
sasa natumaini dunia kama si tanzania wanajua kwanini ttumejzana pale NA SI KWA KUBAHATISHA KAMA WANAVYOTABIRI NA CHAKULA SIO WALI /UGALI BALI ONGEZA NA NDIZI UWE NA AKILI
tra
bandari
ikulu
wizara za serikali
nk
si hicho tu 2015 tunataka kuingiiaaaa ikulu kabisa tushachok a kutomasana tomasana getini ikulu...hii inaonyesha kwamba watanzania wengi wanakubali sasa wachaga awakubahatisha kujazana
sehemu nyeti za serikalini na sasa wamehamia kwenye ngo zinazonuka hela nyingi nyingi
lengo kuu haswa ni kumpongeza kashemeji changu jamani andrew swai kwa kuionyesha tanzania
wachaga atukuja dar kuangalia matairi ya gari wala kuhesabu magari ya showrooms tumekuja kutafuta
maisha kihalali kupitia elimu
kwa niaba ya familia ya mushi,moshi,sarangawe,kinabo,marealle,keteleei,
na familia zoteeee za kichaga tunakupongeza shemeji kwa kukomaa na shule
hii ndio future iliobakia kwenye dunia hii natumaini mungu aliekufikisha hapo
anajua wapi unapotakiwa kufika ...na sie wakina kirenga,,urewedi na wengineo
tunakutakia heri na fanaka na wengine wote waliomfwatia kwa kuonyesha nia ya kumpita shemeji yetu swaii
kafondao swaii
jibu unalo hapo kwenye red
kwa ufupi muelewe urithi wa wachaga ni elimu tangu zamani na kila mtoto anajitahidi kusoma kwa bidii ndio jadi yetu, kunapokuwa na ushindani lazima juhudi kubwa zihitajike na ndicho tunachofanya kwani ukifeli jamii nzima inahuzunika.
sijisifu wajamini hata mm nimepita seminari ya ST James Moshi na performance yangu ilikuwa nzuri hadi namaliza shahada ya pili. sasa wenzetu hawathamini elimu na wao kuanzisha seminari hawachuji na pia malezi wanayowapatia bado wanayo kazi kubwa...nakumbuka sisi tulianza 40 tukamaliza form four 32 tu.mda
wa kusoma ni mfupi na tulijithaidi sana,
ni ajabu sana kuona wenzetu hawapo kwenye list inasikitisha watafute mbinu mbadala.
wazazi wapeni watoto wenu ndizi hiyo ndio siri ya mafanikio
Mods wamempumzisha kwa amaniMS hajaona hii thread?
nakutumia baada ya nusu saaa haya nayo ni muhimu atikwanza yako wapi makina ms, ff, barubaru na topical, mkandara, ally kombo na wadini wengine waanze kukemea mfumo kristo.
Ni madivision wani tu toka seminary. Mwenye matokeo ya masjid quba, al haramain na kinondoni muslim anitumie jamani nicheke kidogo, manake nikionaga fld huwa inanichekesha sana
Buhahahahaaaah!,but punguza jazba mkuu!acha pumba,kila naposoma thread zako inaonekana hauna elimu..
mkuu diddy,umetaja vitengo kama tra,ikulu na bandari.swali;unamaanisha hivi ni vitengo vinavyohitaji watu wenye akili sana au ni kwamba imetokea bahati kwamba toka enzi za kambarage kuna wachaga walitangulia sekta hizi na ndo chain ya kuvutana inaendelea mpaka leo?