Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

Namshukuru Mungu Binti yangu amemaliza salama! Wakati wote nilishakubali matokeo.Angekuja na mimba sawa,angekuja na mtoto sawa. Lakini nashukuru amerudi kama alivyoenda.
Kukubali mtoto wa kike aende Chuoni ni kuwa tayari kupitia mateso ya kisaikology mpaka atakapomaliza.
 
Bitabu vyote vya dini vinasema uzinzi na uasherati ni chafu msiusogelee, nyinyi vijana hamsikii.

Fikiri upo na mwanamke aua na mwanamme hajaoana halafu umauti wake ndiyo umefika chumbani upo nae? Mpaka uje kujinasuwa kuwa hujamuuwa, ushapoteza muelekeo wa maisha yako to the worst.

Kijana usimvulie chupi mtu yeyote ambae hamjaowana.

Msidanganywe na picha za Hollywood wale ni waigizaji tu, siyo uhalisia.
Mbona we ulikuwa wavua

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Bitabu vyote vya dini vinasema uzinzi na uasherati ni chafu msiusogelee, nyinyi vijana hamsikii.

Fikiri upo na mwanamke aua na mwanamme hajaoana halafu umauti wake ndiyo umefika chumbani upo nae? Mpaka uje kujinasuwa kuwa hujamuuwa, ushapoteza muelekeo wa maisha yako to the worst.

Kijana usimvulie chupi mtu yeyote ambae hamjaowana.

Msidanganywe na picha za Hollywood wale ni waigizaji tu, siyo uhalisia.
Nilivyoona ile sehemu kuwa akaenda msikitini, nikajua tu ni mwehu kama allah na muhammadi ndomaana kuua ameona ni kawaida.
 
Bitabu vyote vya dini vinasema uzinzi na uasherati ni chafu msiusogelee, nyinyi vijana hamsikii.

Fikiri upo na mwanamke aua na mwanamme hajaoana halafu umauti wake ndiyo umefika chumbani upo nae? Mpaka uje kujinasuwa kuwa hujamuuwa, ushapoteza muelekeo wa maisha yako to the worst.

Kijana usimvulie chupi mtu yeyote ambae hamjaowana.

Msidanganywe na picha za Hollywood wale ni waigizaji tu, siyo uhalisia.
Sisi tusio amini katika hizo dini zenu unawezaje kutuambia kuwa kulala na MTU mzimawenzangu ni dhambi??
 
Huyo sidhani hata kama anajuta Kiranga komo.

Na Tanzania hii, Marais wote hawataki kusaini vifo. Atahenya sana huyo jela.

Mama'ke aliyemsaidia kuubeba mwili na yeye kapewa adhabu gani? Huyo mama mwanga, asiachwe bila adhabu.

Huyo itakuwa wameshirikiana na mama'ke, sema mtoto kajitowa mhanga mama'ke awachiwe, atakuwa huyo mama ana cheo kwa wachawi wenzake.

Swala la uchawi pembeni ila kama sheria imesimamiwa vizuri sioni ni vipi huyo mama yake na mwanaume anakosa japo miaka 2 jela.
 
“Baada ya kumaliza mambo yote wakati nambeba niliona ni mzito, mama aliniona akaja kunisaidia kubeba na kufungua mlango wa gari wakati tuko kwenye pilikapilika za kumweka siti ya nyuma nilimpiga kiwiko cha jicho…”

🧐🧐🧐🧐🧐🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom