Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

Kama kawaida yao Magamba, Dhuluma, jeuri ya madaraka, Vitisho, Bunduki na Policcm, this time iwe fundisho kwa wajinga wengine
 
Mabina huyu ni miongoni mwa watu ambao wamejijengea umaarufu mkubwa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa hususani ndani ya ziwa victoria!

Huyu ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wakituhumiwa na ujambazi wa kutumia silaha hasa katika miaka ya 90!

Ni miongoni mwa watu ambao wanadaiwa kuuwa wavuvi ndani ya ziwa victoria na kuwapora fedha na mali zao nyingine!

Ni miongoni mwa watu wanaodaiwa kufanya mauaji ndani ya ziwa yeye na wenzake kadhaa akiwemo dc na diwani mmoja!

Kifo cha huyu Mabina pengine ni malipo ya mauaji aliyokuwa akifanya dhidi ya raia wasiokuwa na hatia.

Dah!!nimekumbuka mbali sana juu ya huyu Mabina namkumbuka sana,namfahamu,ni mtu ambae anaogopwa hadi na maofis wa jeshi la polisi,alitumia vibaya sana madaraka yake ya uenyekiti wa ccm mkoa w mwanza!

Alijaribu kufite sana kwenye uchaguzi wa ccm mkoa mwaka huu,na miongoni mwa mambo yaliyomfanya achanganyikiwe!

Kuna juu ya huyu ndugu,mungu amsamehe sana,tena sana tu!!

[h=3]"I will execute great vengeance on them with wrathful rebukes. Then they will know that I am the Lord, when I lay my vengeance upon them." - Ezekiel 25:17[/h]
 
Mabina huyu ni miongoni mwa watu ambao wamejijengea umaarufu mkubwa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa hususani ndani ya ziwa victoria!

Huyu ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wakituhumiwa na ujambazi wa kutumia silaha hasa katika miaka ya 90!

Ni miongoni mwa watu ambao wanadaiwa kuuwa wavuvi ndani ya ziwa victoria na kuwapora fedha na mali zao nyingine!

Ni miongoni mwa watu wanaodaiwa kufanya mauaji ndani ya ziwa yeye na wenzake kadhaa akiwemo dc na diwani mmoja!

Kifo cha huyu Mabina pengine ni malipo ya mauaji aliyokuwa akifanya dhidi ya raia wasiokuwa na hatia.

Dah!!nimekumbuka mbali sana juu ya huyu Mabina namkumbuka sana,namfahamu,ni mtu ambae anaogopwa hadi na maofis wa jeshi la polisi,alitumia vibaya sana madaraka yake ya uenyekiti wa ccm mkoa w mwanza!

Alijaribu kufite sana kwenye uchaguzi wa ccm mkoa mwaka huu,na miongoni mwa mambo yaliyomfanya achanganyikiwe!

Kuna juu ya huyu ndugu,mungu amsamehe sana,tena sana tu!!

Kama alikuwa na tabia hizo, akafie mbali! Akaoze jehanam! Period!
 
Mabina huyu ni miongoni mwa watu ambao wamejijengea umaarufu mkubwa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa hususani ndani ya ziwa victoria!

Huyu ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wakituhumiwa na ujambazi wa kutumia silaha hasa katika miaka ya 90!

Ni miongoni mwa watu ambao wanadaiwa kuuwa wavuvi ndani ya ziwa victoria na kuwapora fedha na mali zao nyingine!

Ni miongoni mwa watu wanaodaiwa kufanya mauaji ndani ya ziwa yeye na wenzake kadhaa akiwemo dc na diwani mmoja!

Historia yake hapa mwanza haina tofauti na yule mmiliki wa mabasi au yule mmiliki wa COCACOLA.
Jamaa walikuwa majambazi haswa halafu wake za watu walikuwa hawaponi.
 
Mabina huyu ni miongoni mwa watu ambao wamejijengea umaarufu mkubwa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa hususani ndani ya ziwa victoria! Huyu ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wakituhumiwa na ujambazi wa kutumia silaha hasa katika miaka ya 90! Ni miongoni mwa watu ambao wanadaiwa kuuwa wavuvi ndani ya ziwa victoria na kuwapora fedha na mali zao nyingine! Ni miongoni mwa watu wanaodaiwa kufanya mauaji ndani ya ziwa yeye na wenzake kadhaa akiwemo dc na diwani mmoja! Kifo cha huyu Mabina pengine ni malipo ya mauaji aliyokuwa akifanya dhidi ya raia wasiokuwa na hatia. Dah!!nimekumbuka mbali sana juu ya huyu Mabina namkumbuka sana,namfahamu,ni mtu ambae anaogopwa hadi na maofis wa jeshi la polisi,alitumia vibaya sana madaraka yake ya uenyekiti wa ccm mkoa w mwanza! Alijaribu kufite sana kwenye uchaguzi wa ccm mkoa mwaka huu,na miongoni mwa mambo yaliyomfanya achanganyikiwe! Kuna juu ya huyu ndugu,mungu amsamehe sana,tena sana tu!!
Kama hayo unayosema ni sahihi basi Mungu amlaze anapostahili.
 
Kama ni kweli, basi hii ni mbaya sana! Wangempeleka katika vyombo vya sheria jamani.

Vyombo vipi vya sheria ulivyotaka apelekwe? Kumbuka damu hii ya MABINA ni moja ya malipo ya kuuawa kwa kuchinjwa kwa yule Mwenyekiti wa CDM kule Usariver Arusha Huku vyombo vya Sheria pamoja na Polisi wakiwatorosha Watuhumiwa na hadi sasa Hakuna mwendelezo wa Kesi wala nini.
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza.

Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda kumhoji iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo ilhali kesi ipo mahakamani?

Mabina akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani.

============
JamiiForums:
Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga (maarufu kama Maziwa Fresh) ni kweli kuwa tukio hili limetokea na tunaendelea kufuatilia kupata habari zaidi

poleni sana wananchi wa Kiseke kwa usumbufu mlioupata hadi kufanikiwa kumtowa roho kiumbe Msumbufu.

Ila muwe wavumilivu kwa mtakaoupata kutoka kwa police hii nchi ndivyo ilivyo
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza.

Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda kumhoji iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo ilhali kesi ipo mahakamani?

Mabina akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani.

============
JamiiForums:
Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga (maarufu kama Maziwa Fresh) ni kweli kuwa tukio hili limetokea na tunaendelea kufuatilia kupata habari zaidi

mods rekebisheni hiyo heading isomeke aliyekuwa mwenyekiti....hiyo inachanganya nilijua dialo coz ndiyo mwenyekiti.
 
Nd Clement Mabina kauaawa na kamanda wa Polisi kathibitisha kuhusu tukio hilo

na nimesikia akisema yuko Njiani kuelekea eneo la tukio
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza.

Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda kumhoji iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo ilhali kesi ipo mahakamani?

Mabina akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani.

============
JamiiForums:
Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga (maarufu kama Maziwa Fresh) ni kweli kuwa tukio hili limetokea na tunaendelea kufuatilia kupata habari zaidi
R.I.P Clement Mabina.

Nadhani heading ingekuwa 'Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mwanza CLEMENT MABINA auwawa na wananch wenye hasira kali.'

Cc: Invisible
 
Last edited by a moderator:
Hatufurahi kifo cha mtu yeyote, poleni sana wanaccm MWANZA, lakn ubabe wa aina yoyote kwa jamii sio mzuri
 
Kama ni kweli, basi hii ni mbaya sana! Wangempeleka katika vyombo vya sheria jamani.
Chombo cha sheria cha nchi gani ambacho kingetenda haki? Polisi ya Tanzania kwa Mabina wa CCM? Sometimes hatua hii ya wananchi inatupa darasa na fundisho fulani ambalo linatakiwa kufanyiwa kazi na wenye mamlaka. Otherwise RIP Mabina
 
Back
Top Bottom