Aliyekuwa mwenyekiti wa ccm Iringa awa mhubiri

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,146
Wakuu leo mida ya sa tisa alasiri nimerudi home nikakuta wameweka channel ten na nilishtuka kidogo kuona sura ya mwanamama mmoja ninayemfahamu kitambo tangu nikiwa afisa wa benki nae akiwa mteja wetu. Huyu si mwingine ni Jesca Msavatavangu ambaye alikuwa mwenyekiti wa ccm wa mkoa wa Iringa na baadae kuvuliwa uanachama kwa zile tuhuma za usaliti. Kiufupi huyu mama namfahamu kwa upambanaji wake na hata kiuchumi alikua vizuri sana pia akimiliki shule moja maarufu ya english medium Iringa maeneo ya Ipogoro ukiachilia miradi mingine. Kilichonishangaza na hata kunifurahisha ni kitendo cha kumrudia Mungu na kuamua kuwa mhubiri kitu ambacho nimeshangaa sana na hata kujifunza kitu kikubwa sana kutoka kwake maana yeye na ccm ilikua dam dam milele,na angeweza kubaki na ishu zake tu zingine maana si mganga njaa kwamba labda njaa imempelekea kuwa mhubiri maana kabla hajawa hata mwenyekiti wa ccm alikua anapush maVX na magari mengine ya kifahari,ukiacha manyumba na bank account iliyokua hailali njaa.
Binafsi nakupongeza sana Jesca maana kwa uwezo wako ungeweza kujiita hata nabii au mtume ila nimeona unajiita tu Madam Jesca kitu kinachoashiria huenda kweli unafundisha biblia kwa nia ya kueneza neno la Mungu. Bora umeachana na siasa uchwara za hawa.........
Kweli in this life you can be anything ukiamua.

IMG_20180310_144259.jpg
IMG_20180310_144240.jpg
 
amesha tubu dhambi ya mauaji inayo wasakama wana ccm wote tanzania
Yaani ccm ni wehu..nakumbuka huyu mama alikua kama amezaliwa na baba Tanu mama ccm kwa jinsi alivyokua front..na nnauhakika alishachoma hela zake kibao kwa ajili ya chama maana ulikua huwezi mwambia kitu..sasa cha kushangaza alivyovuliwa uanachama tu wakambambika na kesi juu...sasa ndo uwashangae wakina pole na hepi wasioijua ccm na hawana kitu siku wakipewa za uso sijui wapi watakimbilia. Huyu mama kiuwezo huwezi mfananisha hata na kakaao bashite
 
Wakuu leo mida ya sa tisa alasiri nimerudi home nikakuta wameweka channel ten na nilishtuka kidogo kuona sura ya mwanamama mmoja ninayemfahamu kitambo tangu nikiwa afisa wa benki nae akiwa mteja wetu. Huyu si mwingine ni Jesca Msavatavangu ambaye alikuwa mwenyekiti wa ccm wa mkoa wa Iringa na baadae kuvuliwa uanachama kwa zile tuhuma za usaliti. Kiufupi huyu mama namfahamu kwa upambanaji wake na hata kiuchumi alikua vizuri sana pia akimiliki shule moja maarufu ya english medium Iringa maeneo ya Ipogoro ukiachilia miradi mingine. Kilichonishangaza na hata kunifurahisha ni kitendo cha kumrudia Mungu na kuamua kuwa mhubiri kitu ambacho nimeshangaa sana na hata kujifunza kitu kikubwa sana kutoka kwake maana yeye na ccm ilikua dam dam milele,na angeweza kubaki na ishu zake tu zingine maana si mganga njaa kwamba labda njaa imempelekea kuwa mhubiri maana kabla hajawa hata mwenyekiti wa ccm alikua anapush maVX na magari mengine ya kifahari,ukiacha manyumba na bank account iliyokua hailali njaa.
Binafsi nakupongeza sana Jesca maana kwa uwezo wako ungeweza kujiita hata nabii au mtume ila nimeona unajiita tu Madam Jesca kitu kinachoashiria huenda kweli unafundisha biblia kwa nia ya kueneza neno la Mungu. Bora umeachana na siasa uchwara za hawa.........
Kweli in this life you can be anything ukiamua.

View attachment 710789 View attachment 710790
Mhubiri kiwango cha lusinde
 
Back
Top Bottom