TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Itifaki Ikulu, Captein Aboubakar Ibrahim Nkya Afariki dunia

AbaMukulu

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
2,048
3,568
Taarifa ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa balozi Omari Kashera unathibitisha kufariki kwa Captein Aboubakar Ibrahim Nkya. Marehemu amefariki nchini India alipokuwa anapatiwa matibabu.



Soma zaidi kumhusu
 
Huyoooo. Maliza kuswali kwanza wewee. Swala muhimu.
20221204_232044.jpg
 
Back
Top Bottom