Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,306
- 1,993
Mkuu GOGOJO wengine hatujui.Shit just got real!
Sucks to be him, though.
Mkuu GOGOJO wengine hatujui.Shit just got real!
Sucks to be him, though.
Pascal Mayalla anapona kweli? Maana Kibonde sasa ni dhahiri magonjwa nyemelezi yanaweza kufumuka kwa mpigo. Visukari, 'pulesha' fungus (mabaranga)Na wale watangazaji wote waliokuwa wanamsifia maisha ni nyumba nao wakamatwe wakaisaidie mahakama kuna vitu watakua wanavijua maana walikuwa wanamwagia sifa kedekede
Ukifanya kazi Serikalini now unakuwa kama kiKARAGOSILaw of Karma... yeye kajifanya mjanja na kiherehere kumvunjia Mbowe bila hata notice, sasa leo yamemrudi.... na serikali walivo watafya watampa shitaka la kutakatisha fedha akanyee ndoo kwanza.. Aisee hapa duniani mtu usiwe na kiherehere ingawa bado ntazidi kumkubali huyu jamaa ila kwa issue ya kamanda Mbowe nilimchukia sana
Kuna majitu majinga sanaSasa unazuia ufisadi wa Mchechu, hizo ulizomzuia Mchechu unaenda kununulia wawakilishi wa upinzani. Halafu unatumia hizi hela kurudia uchaguzi!! Kama sio wenda wazimu ni nini?
Labda kama wewe ni bashite. Ila kama sio, huna la kumtambia mtanzania yeyote hata kama ni upinzani.Toa povu lakini huyo ndio Rais wetu
Huna lakumsaidia umuunge mkono au la
Nawasubiri waje wajitokeze hapa kumpamba kama walivokuwa wanampambaPascal Mayalla anapona kweli? Maana Kibonde sasa ni dhahiri magonjwa nyemelezi yanaweza kufumuka kwa mpigo. Visukari, 'pulesha' fungus (mabaranga)
Just kidding!!
'Akitumaliza wapinzani anahamia kwenu' ==Tundu Lissu
Asichelewe kumkamata naalie nunuaHakuna Fisadi yeyote atakuwa salama kwenye utawala wa Rais Magufuli. Haiwezekani mamilioni ya watanzania wakose huduma za kijamii wakati viongozi wachache wakinufaika kwa fedha za watanzania.
Tanzania tulichelewa sana kumpata kiongozi kama Rais Magufuli.
KAMWE SIWEZI KUMWOMBEA MTU MWENYE HAKI ANAYETAWALA KWA SHERIA HUKU AKIONGOZWA NA KATIBA BALI HUWA NAMWOMBEA MWOVU ILI AACHE WOVU WAKE.Sasa bila shaka mtaelewa kwa nini Rais wetu anaomba tumwombee.Kwa dhati ya moyo wake ameamua kusafisha nchi anapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye nia njema na nchi hii.Nataka niwambie kwa mwendo huu Tanzania mpya yenye maendeleo haiepukiki.viva Magufuli viva Tanzania tuendelee kumwombea apambane na wale wote walikwisha ibia nchi hii kwa muda mrefu
Sijui alikuwa anasubiri nnKachelewa kutimka
alikuwa anasubiria pesa za mkopo za mwisho mwisho... alizo omba adharani... nakumbuka alisema hacha tu niseme hata kama utani gmbeza...Yani intelligence yake sijui ilikuwa ina mshauri nini, ile hali kitumbua kilishaingia mchanga muda tu
Tunataka hizo kesi zikamilike wanaoonekana na hatia wafungwe na waliosafi waachiwe waendelee na shughuli zao sio kila cku kamata kamata na kuweka ndani watu na tatizo la sheria zetu zilivyo mbaya hata wakitoka hapana kipengele cha kudai fidia ni uonevu tu.Sasa bila shaka mtaelewa kwa nini Rais wetu anaomba tumwombee.Kwa dhati ya moyo wake ameamua kusafisha nchi anapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye nia njema na nchi hii.Nataka niwambie kwa mwendo huu Tanzania mpya yenye maendeleo haiepukiki.viva Magufuli viva Tanzania tuendelee kumwombea apambane na wale wote walikwisha ibia nchi hii kwa muda mrefu