Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

Kama ningekuwa bendera kifuata upepo cjui ningekuwa wapi kwahyo mchezaji akihama team na mimi nihame kisa nampenda je akifariki na mimi nifariki kwa kuwa namkubari namkubari sana zzk ila mapambano yangu daima ni kwa chama chenye nguvu ya upinzani na wanaojifanya wanamfuata zzk ACT ckweli ni mamruki wa CCM.wanaziendesha akili za watanzania ambao hawajasoma elimu ikawasaidia
 
safi sana ! ZZK wish u all ze best ! walifikili watakukomoa ! act ni nuru, si sawa na lichama ulilotoka ambapo wachache wanafikili kwa niaba ya wengine.....!
 
Nadhani wewe ndio unataka kumpotosha mwenzio. Wataje hao nyerere aliowatoa serikalini waanzishe vyama. Hivi unajua mfumo wa vyama vingi umeanza mwaka gani na Nyerere ametoka madarakani mwaka gani? Unafahamu kuwa NCCR mageuzi chini ya akina Mabere Marando ilianza kama NGO harakati zake ni kudai mfumo wa vyama vingi mchini? Mzee mtei muanzilishi wa Chadema aalikuwa muajiliwa Serikalini? Abrahaman Babu na wengine walikuwa wanaharakati wasiokubaliana na sera za ujamaa
Haina haja ya kuwataja cause wanajulikana ndugu,hata uyo mabere naye me naisi ni wale wale tu lakin tutajua mwisho wake tu,Mrema tushajua mwisho wake ndugu na hao wengine tutajua mwisho wao,subira tu ndugu,na kutoka madarakani kwa mwalimu haikumaanisha kwamba hatoi maamuzi huo uwongo wakati yupo mwinyi huo mfumo wa vyama vingi ulianzishwa lakin mwalimu ndo alikuwa anaamua kila kitu,alafu acha ujinga hapa tunazungumzia huo mfumo maalumu ulipoanzishwa na sio kabla ya mfumo ndugu maana ata miaka ya kitambo Kuna watu wengi walikuwa wanampinga mwalimu akiwemo wambura nafikili kitambo icho alikuwa mbunge au mwenyekiti wa mkoa wa mara kitu kama icho ndugu na wengi tu walikuwa awapendi siasa ya ujamaa
 
Badala ya kufurahi kaondoka mnaanza kuweweseka? Ndo keshaondoka sasa mmebaki na masela tu kina sugu wenje lema nasari nk. Yule mzee wa kupaniki Tundu keshawaingiza chaka!

Aliomba radhi lakin bado alikataliwa,nadhani kama CDM wangekuwa wanamhitaji wangemuacha tu,lakini msaliti muache aende zake
 
Sasa hapa ndio sielewi kabisa,Zitto kaingia chadema angali namiaka 16 hii picha ya kijani kaipiga lini au alikuwa akijipima chumbani

Tutaskia mengi,inaonesha kuna makubaliano slikuwa nayo na ccm but imefika hatua ameona atakosa maneno kwa wananchi,akiwa yupo ccm!!
 
Wakuu mada mbona ya kilevi sana chadema mnapaswa kufurahi baada ya kuwa ameondoka ili muendeleze ukabila wenu ndani ya chadema.
 
Back
Top Bottom