Aliyekuwa Mbunge (Benito Malangalila) afariki dunia

Wote wa mufindi ila Mungai kaskazini RIP kusini na waluikuwa wabunge wote. Malangalila nilimfahamu wakati nasoma Malangali High school alikuja kupiga siasa zake. Anyway RIP mbunge.

Hapo kwenye wekundu na mimi nilikuwepo wakati akipiga longolongo kule Malangali. Nadhani ndio mara ya mwisho lilimuona live.
 
r.i.p rafiki yangu benito.
hili gonjwa linatesa sana,nakumbuka kipindi cha ubunge wake akigawa ngoma kwa makusudi akamtongoza dada mmoja anayemfaham dada akamkubalia walipoingia chumbani benito akavua nguo zote fasta na kwa vile alikuwa ameshachoka hata kutembea ni shida yule dada akabeba simu zake zote na tsh laki tatu na kulala mbele huku mheshimiwa akikodoa macho bila kuwa na cha kufanya.
kesho yake akatutangazia masela wa pale bungeni dau kwa atakayemkamata yule dada.
 
Aise haya magonjwa ya kuumwa muda mrefu ni hatari sana. Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake.
 
Back
Top Bottom