Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

pale lazima aungane na kafulila kutengeneza chama ndani ya chama!! - dhambi huwa unatembea nayo kokote uendako.
 
By the way, kesho atangaze kugombea urais! Ila bora wewe kuliko aliyeingia choo cha kike, Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
[/QUOTE]
3.
NCCR-Mageuzi ni Chama na kipimo cha demokrasia kwa vitendo. Ni Chama ambacho hakina mtu mmoja tu kwa ajili ya nafasi ya za uongozi, yeyote ana nafasi ya kugombea nafasi anayotaka na mkutano mkuu wa Chama ndio uamue nani anafaa kuwa mgombea urais.
Mfano, Mwaka 1995 Chama kilimsimamisha ndugu A.L. Mrema kugombea urais. Mwaka 2000 Chama kilimsimamisha ndugu Edith S. Lucina kugombea urais. Mwaka 2005 Dkt. E.A. S. Mvungi aligombea urais na mwaka 2010 Chama kilimsimamisha ndugu Hashim S. Rungwe aligombea urais. Hii ni tofauti na baadhi ya vyama vingine
[/QUOTE]

Najiuliza kama ulipata angalau muda wakufatilia mwenendo wa NCCR hasa kwenye presidential election results kabla hujafanya maamuzi yakuhamia huko.

[/QUOTE]



Na siku wakikuweka wewe kuwa mgombea wa urais utapata kura yako 1 tu. hata mkeo hatokupigia kura we kilaza.
 
Naona urais umeingiliwa.mtu akiingia chooni anapomaliza haja yake akiinuka tu na kutawaza kitu cha kwanza ni kuota urais.mtu alipata kura 5000 dhidi ya kura 14000 za mpinzani wake kwenye jimbo anataka kuwa rais.swala siyo urais eti ndiyo maana ulikuwa unashambuliwa na chadema.kutangaza nia ya kugombea urais siyo sababu ya wanachadema kukushambulia.ulikuwa unatafuta mlango wa kutokea kwa vile huna sifa za kuwa rais.Unayo haki ya kufanya maamuzi uliyoyafanya safari njema kamsalimie Kafulila.
 
Kagombee urais NCCR -Empty headed......kumbe unapambana na CHADEMA na sio CCM.Huko panakufaa
 
Unyo haki ya kuhamia chama chochote cha siasa ukipendacho,hata kesho waweza kwenda cck au adc.kinachotia kichefuchefu ni kitendo cha ww kutoa tuhumu za ijinga dhodo ya viongozi wa chadema na chama kwa ujumla.
Hivi tangu lini wewe umekuwa msemaji wa dr.slaa hata utangaze kuwa alilazimishwa kugombea urais?hivi kwanini slaa mwenyewe aslilalamike uje useme wewe kama sio ujinga uliopitiliza?
Hivi pia unajaribu vipi kugombea urais wakati hata hapo kwenu tanga ubunge umekutoa jasho kama ulivyoonyesha?hivi wewe una akili timamu?hivi kuna gombea gani unayemjua ambaye hakuwahi hata kuwa mbunge?mbona una akili ndogo hivyo?kama umeshindwa kuaminiwa na kushinda ubunge urais utauweza?hivi kwanini tusiseme kuwa wewe ni pandikizi?
Hivi pia wewe una taaluma ya udaktari hata utangaze kuwa kuna mbunge wa viti malumu amepewa mimba na kiongozi wa chama?hivi kama akili yako ni ndogo kwa kiwango cha kushindwa kujua kuwa huwezi kujua mimba ni ya nani hadi upime unawezaje kufikirir kugombea urais?hebu tafakari na utulie ulale.
 
Dogo anazungumzia mpaka mimba (personal affairs) kuhusisha na chama,, kweli kazi ipo lets wait and see nn kitafuata
 
Umuulize A.Mrema kwa nini yuko TLP,Halafu nenda kwa Kafulila pia umuulize ni mbuge wa wapi na kwa kupitia chama gani?majibu utakaa nayo moyoni au siyo?
 
Deo mdogo wangu,
tabia ya mtu ndicho kigezo kikubwa kitakachokufanya ufikie na kukamilisha ndoto zako. Naamini kabisa kwamba yawezekana pale chadema kuna matatizo ya namna flani ambayo yamechangia wewe kufanya maamuzi uliyoyafanya, lakini njia uliyotumia kukabiliana na matatizo ndani ya chama chako cha awali imekuondolea heshima na kukufanya uonekane ni mtu usiyeaminika na msaliti.

Ushauri wangu kwako ni kwamba kama unataka kuwa mwanasiasa mwenye heshima kama walivyo watu wa kariba ya akina dr slaa, f.mbowe, jk kikwete akina dr salim A salim nk jifunze kukaa chini na kutafuta ushauri kwa waliokutangulia, vinginevyo hata huko nccr ulikokimbilia una muda mfupi kabla hujatimuliwa tena, waige wanasiasa wanaoona mbele kama akina samson mwigamba, itakusaidia.

Yesu kristo aliwahi kusema kuwaambia wanafunzi wake,
ukialikwa harusini usikae kiti cha mbele, kaa kiti cha nyuma, ili bwanaharusi akikuona yeye ndo aseme ndugu, nafasi yako iko huku mbele, hapo heshima yako itkuwa kubwa mbele za waalikwa wengine,
Nakutakia mafanikio huko uliko..
 
kwaheri kijana, ila hakikisha unaisoma vema katiba ya NCCR ili uepukane na kuvurunda kwa mara ya pili.
 
Wabongo bana kwa pumba ungeanza kwanza wewe kuja na majibu ya watanzania wangapi wanakufahamu wewe mchumia tumbo

Na ndio maana nimejifungia nyuma ya keyboard kimya huku naingiza siku but napata muda wa kujumuika JF. Najua nje ya hapa hakuna anayenifahamu na siwezi kupata hata udiwani. Nalishangaa hili koyoyo Kisandu umaarufu wa JF anadhani watanzania wanamfahamu...
 
Mwalimu wangu alinifundisha ukiona mtu anahesabu mchanga barabarani haina umuhimu wa kumpima akiri directly anakuwa potrayed as hanaakiri.
Huyu jamaa mambo yake yanaonyesha wazi kwamba nimtu asiekuwa naakili timamu awerais of which country? Inasikitisha kuona hatawalio mpokea huko CCM "C" wameshindwa kugundua kwamba huyu kilaza ni mgonjwa wa akiri...may be nao wanathe same same problem.
 
...hayo yote amesababisha JK,yaaani kila mtu sasa hivi anajiona anauwezo wa kuwa raisi hadi na hili "dekio" Kisandu nalo linaota kuwa raisi!...
 
Back
Top Bottom