ALIYEJUU YA KANISA NI KRISTO MWENYEWE, WENGINE WOTE KAENI KIMYA.

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Sep 19, 2020
3,266
7,816
Kanisa halibariki Dhambi! Bali linabarki wadhambi huku likitumai kwamba REHEMA ya Mungu itawasaidia wadhambi ku-convert!.
Niambie ama nionyeshe sehemu yoyote Ambapo kanisa linataka Makasisi wa wabariki "Dhambi?.

Righteous Catholics and non Catholics wanalishambulia Kanisa pengine kwa bahati mbaya ama maksudi kwa maana ya kuwa wanatumika.
Tafadhali, non righteous tuliombeeni Kanisa.

kanisa linashabuliwa pande zote and currently most of her enemies are within(righteous Catholics).

Righteous Catholics and non catholic wanapaswa wajiulize vile Kanisa lilivyo kwanza.
Kanisa ndiyo kielelezo cha KRISTO lakini legalists/ Righteous Catholics waliojichomeka ndani ya kanisa wanataka kuonyesha kuwa ni kinyume chake.
Wapo obsessed with formality over substance.
wanajifanya wana haki ilhali hiyo haki yenyewe hawana na wameshidwa kujishusha.

nemo est maior quam ecclesia
 
Hizi nguvu ungezielekeza kwenye kilimo cha matikiti ingekulipa.

Huijui Vatican Bora ukae kimya tu.
 
Kwamba jambazi akija na AK47 Kwa kasisi Abarikiwe mtambariki Ili aendeleze na ujambazi Kwa minajili ya kubadilika baadae?

Kizazi Cha nyoka, kinapindua maandiko!!
 
🤪🤪KIMEUMANA
 
Hizi nguvu ungezielekeza kwenye kilimo cha matikiti ingekulipa.

Huijui Vatican Bora ukae kimya tu.
Bwana mdogo, mimi nalima sana, hapa ni sehemu ya shamba langu.
Nafanya kilimo na kupinga upotoshaji vilevile.
 
Attachments

  • IMG-20231001-WA0011.jpg
    IMG-20231001-WA0011.jpg
    191.5 KB · Views: 2
Kwamba jambazi akija na AK47 Kwa kasisi Abarikiwe mtambariki Ili aendeleze na ujambazi Kwa minajili ya kubadilika baadae?

Kizazi Cha nyoka, kinapindua maandiko!!

"Kanisa halibariki Dhambi! Bali linabarki wadhambi huku likitumai kwamba REHEMA ya Mungu itawasaidia wadhambi ku-convert!.".
Hiki kipande cha uzi wangu umekiruka kwasababu unazozijua wewe.
Roho hiyo iliyokufanya ukiruke hicho kipenda itakupeleka kubaya,ooh.
 
Nakazia hoja. Labda nitumie mfano huu japokuwa sio mfano rafiki sana au hautaeleweka vizuri. Fikiria mtu au ww umekanyaga uchafu ukiwa miguu peku. Wanakuja wenzio wanakushawishi ili usiendelee kunuka basi, nawa maji na sabuni hivyo hapo. Unakubali na Unanawa maji na unakuwa msafi tena. Je, utasema umeunawisha uchafu au umemnawisha mtu mchafu? au Umeutakasa uchafu au umemtakasa mtu aliyekuwa mchafu?
Hoja yako ni sahihi kabisa (Na ndicho Pope alisema) lakini wanakuja wenye nia zao wanageuza-geuza, wanapotosha na wana-publish mitandaoni na ktk vyombo vya habari ionekane kana kwamba ndo alivyosema Pope eti katoa Ruhusa. Kwa bahati mbaya sana sana wapo hata baadhi ya viongozi wa kiimani ndani ya Kanisa nao wamekumbwa na gharika hiyo. It's pity.
 
Nakazia hoja. Labda nitumie mfano huu japokuwa sio mfano rafiki sana au hautaeleweka vizuri. Fikiria mtu au ww umekanyaga uchafu ukiwa miguu peku. Wanakuja wenzio wanakushawishi ili usiendelee kunuka basi, nawa maji na sabuni hivyo hapo. Unakubali na Unanawa maji na unakuwa msafi tena. Je, utasema umeunawisha uchafu au umemnawisha mtu mchafu? au Umeutakasa uchafu au umemtakasa mtu aliyekuwa mchafu?
Hoja yako ni sahihi kabisa (Na ndicho Pope alisema) lakini wanakuja wenye nia zao wanageuza-geuza, wanapotosha na wana-publish mitandaoni na ktk vyombo vya habari ionekane kana kwamba ndo alivyosema Pope eti katoa Ruhusa. Kwa bahati mbaya sana sana wapo hata viongozi wa kiimani ndani ya Kanisa nao wamekumbwa na gharika hiyo. It's pity.

Umenena vizuri kabisa hopefully legalists/ Righteous watakuelewa kwa mfano huu ila kwasababu wapo kwa ajili ya Kutafuta negativities kwenye kauli ya Papa they will say otherwise.
God have mercy on them.
 
Kwamba jambazi akija na AK47 Kwa kasisi Abarikiwe mtambariki Ili aendeleze na ujambazi Kwa minajili ya kubadilika baadae?

Kizazi Cha nyoka, kinapindua maandiko!!
Mkuu; mbona unachanganya mambo? AK 47 ina kosa gani? Mbona AK 47 ni kitendea kazi sahihi cha walinzi (Kazi ya Ulinzi) wetu na mali zetu? Huyo mtu(Jambazi) anamatumizi mabaya ya hiyo AK47. Anafanya kazi ya Ujambazi ambayo sio kazi halali (ni wizi wa kutumia nguvu) na wala Mtengenezaji hakukusudia hiyo AK 47 itumike kihivyo.
Kwa mantiki hiyo kama Mtu atakuja na kujitangaza kwamba yeye ni Jambazi na hana mpango wa kuacha kosa hilo, hatobarikiwa(hata Pope alisema Baraka zitatolewa kwa utaratibu). Lakini kama mtu huyo huyo akija na kuomba baraka yeye kama yeye (sio yeye kama jambazi)au kaleta mbegu za mahindi au Toyo yake anaweza kubarikiwa kwa kuzingatia Utaratibu uliowekwa na Pope.
INAHITAJI MTU ATULIE AU ATAFUTE TAFSIRI SAHIHI KWA WANAOHUSIKA na sio huko pembeni kwa wapambe nuksi.
 
Kwani mashoga wanapokuja wameambatana Huwa wanajificha kuanzia kuongea, mavazi, tembea nk nk?

Mfano huo uko sawa kabisa.

Mteteeni Pope mwende naye Kuzimu.
 
Ukitaka kupima vizuri hoja yako, mahali penye shoga weka jambazi, halafu utafakari kama jambazi anastahili au hastahili baraka, then urudi kwa shoga
 
Back
Top Bottom