Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa aomba radhi kwa kumdhalilisha; asema tukio limechukuliwa kisiasa na sasa anakosa amani

Aiseee... Hilo ndio tatizo la movie za kibongo zinawahi kuishaaaa, bora zingevuta vuta muda make nilishaanda popcorn zangu za kutosha
 
Team Lowasa wameshafanya yao nini, maana team Lowasa na team Makonda hawajambo kwa usanii.
Waulize majirani watuambie km akianza kubadili mboga,saluni,na kamotokaa basi atakuwa kaneema kafursa kamemtembelea huyo kada,ila zero brain anavopenda ligi atamuacha lzm atamshughulikia Kwa kuharibu muvi iliyofikia mwisho.Ngoja tusubirie na ya mchina.
 
ningeshangaa kama KONDAKTA wa jiji lile angefanikisha mchakato huu bila kuvurunda.... nadhani alimnunua kama alivomnunua yule wa kusema amezaa na Gwajima.......................... AKILI HUNA, VYETI HUNA, MARINDA HUNA, MTOTO HATA WA KUSINGIZIWA HUNA,,,,, UNA TAKO ZURI TUUU
Labda akupewa chake,maana ukishatumika na chama chakavu kuwafanikisha yao,chako unazungushwa au unazimwa,waulize bongo movie, au yule wa magazeti ya udaku.
 
Bashite hajawahi kufanya jambo likafanikiwa
Walimu kusafiri bure,list fake ya madawa, Vijana wasio na ajira leaders, shisha,ombaomba,migogoro ya ardhi,meli ya matibabu ya wachina,nk.Chochote kifwanywacho Kwa hila ya kukomoa watu huwa hakidumu,yule mwenye mwili Mkubwa akili kisoda ndo watunga movie unategemea nn,
 
Kwa namna watanzania tunavyogeuzwa geuzwa na kuchezewa hakika tunaushuhudia ulimwengu kuwa ss ni kizazi cha hovyo na mfano wa ujinga duniani
 
Wachangiaji wengine wanaudhi sana moja kuendelea kumkashifu lowasa kwamba ameamua kukaa chemba na kumwambia mtoto akaushie kwa maana atamdharirisha sasa nafikiria upande mwingine unadhan inaweza kuwa simple hivo yaan aende kwa makonda akaseme nimetelekezwa then badae huyohuyo aseme nilikuwa namsingizia hilo jambo ni la kisiasa hivi hamuon kama ingeuwa hatar zaid yaa ingeonekana wanaenda kumuongopea makonda mi nasema huo mchezo ni wa kisiasa na tukubali hivo tuache porojo sehem yenye ukweli why chadema tu?
 
Kwa watu tunaofahamu akili ya 'Bashite' hatuwezi kushangaa habari kama hizi..ila tunazishangaa mamlaka zilizomuweka madarakani kuendelea kumuamini huyu 'Tahahira' wakati wakijua hastahili kupewa nafasi yoyote ile serikalini kwa mambo ya ajabu ajabu ambayo amekuwa akifafanya..Hili pamoja na mengine yanatosha sio tu kumuondoa madarakani bali hata kumfikisha katika vyombo ninavyohusika na nidhami awajibishwe...'shame' kwa wale wanaoendelea kumlinda 'mwehu'kama huyu
Haya ni makaburi hata katoliki kuwa awamu ijayo omba uzima tu utayashuhudia tu,kujipatia stahiki za umma Kwa kutumia jina lisilo lako.
 
Back
Top Bottom