Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa aomba radhi kwa kumdhalilisha; asema tukio limechukuliwa kisiasa na sasa anakosa amani

Hii ndio JF ; watu hutoa tu comments bila kuwa na uhakika wa chochote.
 
  • Kama ni kweli anayeshikwa na nyama ya wizi ndio mwizi Lowasa amburuze mahakamani amdai fidia yeye kama alitumwa naye awaburuze mahakamani waluomtuma sio kazi ya Lowasa kujua nani alimtuma yeye amburuze huyo binti amlipe kama alitumwa na third party sio wajibu wa Lowasa Ku deal na third party .Amkabe huyo binti na mama yake hadi kieleweke.Ushahidi wao uko wazi kuliko wa third party
Amuache tu amsamehe,
Kama Binti alitumwa basi atajuana ye mwenyewe na aliemtuma,
 
Kuna upuuzi mkubwa sana nchi hii. Haya tumemsikia tunasubiri mama yake aliyesema hadharani kuwa alivua nguo na kushiriki tendo la ndoa na mzee hadi kujifungua huyo binti. Upuuzi wa hali ya juu.

Bahati mbaya sana mzee Lowassa ni mstaarabu, muungwana na asiye na visasi, ila angekuwa mtu mwingine hawa wajinga wangeshitakiwa na kumlipa fidia kubwa mno kwa kumdhalilisha.

Badala ya kushughulikia miundo mbinu ya Dsm kuepuka hii kero ya usafiri kipindi cha mvua, ss tunahangaika na malaya ambaye kutwa nzima anashinda kwenye vigodoro (samahani watu wa pwani, huu utamaduni ni wa hovyo sana, mijanamke malaya inacheza mchana kweupe ikiwa uchi). Yule mama na huyo binti yake wanaonekana dhahiri ni waswahili tu wa pwani ambao wao kuolewa ni mkataba, miezi 6 anaolewa baada ya hapo anaachika na kurudi kwao kucheza vigodoro kwanza. Akichoka anapata tena bwana anaolewa hata miez 3 then anaachika.

Eti hawa ndo wapiga kura wanaoamua mstakabali wa nchi. Ni bora tuwe na mfumo kama wa USA, wapuuzi kama hawa wakimaliza kupiga kura na kuhesabiwa, tunangojea kura za watu wenye akili nzuri kuamua nani awe kiongozi na nani asiwe. Na kundi hili la kuamua ni bora likawa lile la TLS na ZLS. “ I submit”
 
Lowassa ndyo engine ya siasa Afrika mashariki na kati,ccm wenyewe mpaka hivi leo wanaogopa kivuli cha Lowassa kama shetani anavyomuogopa Yesu wa Nazareth
Kwa watoto msiomfahamu Lowassa vzr,ndye m2 pekee aliyeleta mtindo wa kuwasomba watu kwenye mafuso na mabasi na kuwapeleka kwenye mikutano ya ccm so,he knows all the dirt games played by Mr.Zero...kumbuka pia Zero Brain amekuzwa kisiasa na Mtoto wa Lowassa na Mzee Sita kwa hyo hakuna kitu anaweza kufanya Lowassa asijue na hata kama akianzisha mtihani unaomuhusu Lowassa basi Lowassa anaouwezo wa kuu-solve mapema kabla haujafka mbali

Pia,ninachokiona hapa kuna mambo mawili ambayo ni;
A)Lowassa anaweza kuwa anamfaham huyo Dada kuwa ni mwanae wa damu na yawezakuwa amemuita chamber na amempa somo "ww ni mwangu wa damu acha kunidhalilisha...mm ni Baba yako kweli nilikutelekeza lkn tusahau yaliyopita tugange yajayo nitakupa mihela /mtaji na hakika utakuwa na maisha mazur lkn ukinidhalilisha hutapata chochote
B)Heunda kweli ni mchezo ulichezwa wa kumchafua huku binti aliahidiwa malipo na hajalipwa so,ameona ni bora azingue
Wito wangu kwa Bash baby na ccm wote;acheni kununua watu kama mnavyonunua madiwani!
 
Team Lowasa wameshafanya yao nini
Yawezekana Nina taarifa ya diaspora kusafiri toka nje ya nje kumalizana na wanawake waliowatelekezea wake na watoto baada ya Makonda kuwaambia ataenda balozi za nchi waliko yeye mwenyewe kutaka warudishwe nchini au wafutiwe visa wakigoma kuja kujibu kesi za kutekelekeza wake na watoto.Yawezekana Lowasa kakubali yaishe asiadhirike zaidi kampa dau nono yeye na mama yake .Diaspora watelekezaji wanahaha
 
Huyo amepozwa na timu Lowassa!

Anasema alienda kutafuta msaada lakini suala limebadilishwa na kuwa la kisiasa!

Huyo atakuwa ameambiwa kama unataka matunzo lazima kwanza uniombe msamaha kwa kunikosea!

Hajakanusha kama baba yake sio Lowassa bali anamuomba msamaha kwa sababu suala limekuwa la kisiasa.

Cha muhimu ni wao kuwa familia moja na kuishi kwa upendo.
 
Back
Top Bottom