Aliyebuni tutembee kwa miguu miwili alikusudia nini?

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,747
3,379
Huwa naamini binadamu wote tumeumbwa kutembea kwa mikono miwili na miguu miwili kama ilivyo kwa hawa wanyama mbalimbali tunaowaona leo hii kama mbuzi, ngombe, mbwa nk.

Na ndio maana pale utotoni unatembea hivyo. Huku kutembea kwa miguu miwili tunafundishwa baadaye na wakubwa zetu.

Sasa huyo aliyetufundisha kuacha kutumia miguu na mikono na badala yake tutembee kwa miguu tu aliwaza nini? aliona nini kimepungua?

na je hali ingekuwaje kama tungeendelea kutembea kwa mikono na miguu?
 
Huwa naamini binadamu wote tumeumbwa kutembea kwa mikono miwili na miguu miwili kama ilivyo kwa hawa wanyama mbalimbali tunaowaona leo hii kama mbuzi, ngombe, mbwa nk.

Na ndio maana pale utotoni unatembea hivyo. Huku kutembea kwa miguu miwili tunafundishwa baadaye na wakubwa zetu.

Sasa huyo aliyetufundisha kuacha kutumia miguu na mikono na badala yake tutembee kwa mikono tu aliwaza nini? aliona nini kimepungua?

Kama unaona haipendezi au haifai wewe tembea tu kama mbuzi
 
Huwa naamini binadamu wote tumeumbwa kutembea kwa mikono miwili na miguu miwili kama ilivyo kwa hawa wanyama mbalimbali tunaowaona leo hii kama mbuzi, ngombe, mbwa nk.

Na ndio maana pale utotoni unatembea hivyo. Huku kutembea kwa miguu miwili tunafundishwa baadaye na wakubwa zetu.

Sasa huyo aliyetufundisha kuacha kutumia miguu na mikono na badala yake tutembee kwa mikono tu aliwaza nini? aliona nini kimepungua?

na je hali ingekuwaje kama tungeendelea kutembea kwa mikono na miguu?
Na aliebuni tujue kusoma na kuandika alikusudia nn wakati tulizaliwa bila haya mambo
 
Huwa naamini binadamu wote tumeumbwa kutembea kwa mikono miwili na miguu miwili kama ilivyo kwa hawa wanyama mbalimbali tunaowaona leo hii kama mbuzi, ngombe, mbwa nk.

Na ndio maana pale utotoni unatembea hivyo. Huku kutembea kwa miguu miwili tunafundishwa baadaye na wakubwa zetu.

Sasa huyo aliyetufundisha kuacha kutumia miguu na mikono na badala yake tutembee kwa mikono tu aliwaza nini? aliona nini kimepungua?

na je hali ingekuwaje kama tungeendelea kutembea kwa mikono na miguu?

Haujakatazwa kutembelea miguu na mikono. Anza sasa. Hujachelewa.
 
Back
Top Bottom