Alininyima Kwa Muda Mrefu, baada ya kunipa nimeamua ku...!

WE KWELI CT SCAN YAKO YA MCHINA

Kama unampenda, endelea naye...kama humpendi mwache, kukeketwa sio hiari yake na nina uhakika angepewa choice asingekubali

Are you perfect kila idara?

Grow up

Ila kaka kwa upande mwingine siohi haja ya huyu bwana kuendelea na huyu binti kama haridhiki na hiyo hali. Tuwe wakweli, unajua hapa MMU saa nyingine unafiki ni mwingi sana. Mara ngapi hapa watu na hata wewe mkuu Kaizer mnatetea ishu ya kutouziwa mbuzi kwenye gunia??!!! Sasa tujiulize hii falsafa inayotetewa sana ya kujaribu kabla ya kuoana mantiki yake ni nini kama sio kuachana na yule unayeona huridhiki naye??!!! Maana kama kujaribu kupo basi ni wazi matokeo ni aidha kukubalika au kutokubalika. Sasa sijaona kosa la huyu bwana kuuliza alichouliza.

Kingine ni kuwa kuna watu wanapenda wanawake waliokeketwa. Sioni sababu ya huyu jamaa kujilazimisha kukaa na mtu asiyeridhika naye wakati kuna wanaume wanaweza kumpenda kwa jinsi alivyo.
 
Last edited by a moderator:
kuna muda huwa sielewi
sijui ni kukua sijui ni kuwa mjinga sijui ni kujitambua sana,pengine ni ufala wangu!
kuna kazi sana ,tena sana kwenye hii habari ya kupenda na kupendwa!
pengine inanipasa nikasome upya kama sio niingie upya field ili nijue what exactly does it take to love a person!

I wish hiyo field ingekua offered somewhere I would have joined!!Lol sielewi maybe mie kilaza???!!genius??!!still loading...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
haa. wewe nawe wa ajabu!! kwani hana joto??utamu wa sex ni ujoto ule.... hayo mashavu sijui "kisimu" ni addition tu kama kachumbari kwenye pilau !!

Hahahahahaha wengine wanasema utamu wa bao unao wewe mwenyewe,joto,utelezi ni vikorombwezo au mbwembwe tuu
 
Ujinga mtupu . Nataka niamini kuwa upendo una supersede chochote na vyovyote alivyo mtu uliyeamua kuwa mke wako. Tabia ya wanaume haswa wa kizazi hiki ya kutaka kumpekua mwanamke kabla ya kumwoa kama mtu anayechambua mitumba ya book siyo cha kistaarabu hata kidogo.
Mi nakikemea kwa nguvu zoote. Kwa wachumba waaminifu kabisa si lazima mfanye ngono ili kutambua kama mwenzako ni mzima au la ila kama mko open ulizaneni maswali na kama akikudanganya ukagundua baada ya kumwoa huyo hafai kuwa mwenzako. NALAANI NGONO INAYOFANYWA KUMCHUNGUZA MCHUMBA KABLA YA KUONA!!!!!
 
ukisha mpenda mtu mpende na hali zake hakuna haja yakumdonesha mwenzako kidonda kukeketwa au kutokeketwa si muhimu hata kidogo kilichomuhimu ni upendo mlionao
 
Ila kaka kwa upande mwingine siohi haja ya huyu bwana kuendelea na huyu binti kama haridhiki na hiyo hali. Tuwe wakweli, unajua hapa MMU saa nyingine unafiki ni mwingi sana. Mara ngapi hapa watu na hata wewe mkuu Kaizer mnatetea ishu ya kutouziwa mbuzi kwenye gunia??!!! Sasa tujiulize hii falsafa inayotetewa sana ya kujaribu kabla ya kuoana mantiki yake ni nini kama sio kuachana na yule unayeona huridhiki naye??!!! Maana kama kujaribu kupo basi ni wazi matokeo ni aidha kukubalika au kutokubalika. Sasa sijaona kosa la huyu bwana kuuliza alichouliza.

Kingine ni kuwa kuna watu wanapenda wanawake waliokeketwa. Sioni sababu ya huyu jamaa kujilazimisha kukaa na mtu asiyeridhika naye wakati kuna wanaume wanaweza kumpenda kwa jinsi alivyo.

mkuu mjasiria, ukisoma apo nimeandika kwamba akama anampenda aendelee naye kama la amwache....kama haridhiki na hiyo hali,,,ndio utekelezaji wa dhana yenyewe iyo.....na nikampa angalizo...kwamba na yeye ako perfect kila idara?

yeye hataki kucompromise apo kwen kukeketwa so atafute ambaye hajakeketwa..ila anaweza kumkuta na upungufu mwingine

Kwa mwanamke tunaangalia tabia njema tu..mengine ni ziada.
 
Sasa mkuu utanisahihisha kama nitakuwa nimekosea. Unapotetea kuchovya kabla ya ndoa huwa una maana kuwa tabia inajulikana kwa kugegeda??!!!
 
Sasa mkuu utanisahihisha kama nitakuwa nimekosea. Unapotetea kuchovya kabla ya ndoa huwa una maana kuwa tabia inajulikana kwa kugegeda??!!!

Kugegeda is just a small part mkuu..just ilivyo kwamba kwenye ndoa si muda wote mnakuwa mnagegedana......upo apo? Na sijasema tabia inajulikana kwa kugegeda...na likewise kwa kutogegeda kabla ya ndoa haina guarantee kwamba ndio utakuwa umempata mwenye tabia nzurii... hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kugegeda na kujua tabia ya mtu.....

Kugegeda kabla au baada ya ndoa inabakia kuwa tukio linalojitegemea na sio kipimo cha tabia ya mtu

Kilichotokea kwa huyu bwana ni kwamba amegegeda akagundua kumbe mwenzio amekeketwa...again haina uhusiano wa moja kwa moja na tabia yake..angeweza kumuoa kwa kuangalia vigezo vingine..huenda angekuwa mke mwema sana...who knows....ila huyu ameshasema kwamba bila kale kadude pale, hana mzuka kabisa....
 
WAPENDWA hali zenu huko mlipo? Natumaini mko poa sana.
Mwenzenu yamenikuta yanayoniacha njia panda.
Ila kwa msaada wenu natumaini nitapata mawazo mapya na kuachana na fikra zangu.
Ngoja niwaelezea mkasa wenyewe.
Ni hivi nina MCHUMBA ambaye alikataa ''katu'' kunipa PENZI lake mpaka tuoane.
Ila kumbe alikuwa anajua ya MOYONI mwake.
Baada ya kumshawishi mpaka amekubali ni kuwa nilichokikuta ni MAJANGA. Nilimwonea huruma sana.
Ni hivi Mchumba mwenyewe AMEKEKETWA.
Naombeni Ushauri NIENDELEE naye Au NIMUACHE?

Doh naomba uniwie radhi
Hivi wewe inaumri gani na uanaumewako upo wapi nilizani unaomba ushari wa tatizo alilo nalo kumbe ni ufinyu wa akiliyako na kukosa busara hata ubinadam huna wewe naweza kusema huna hadhi yakuitwa mwanaume aliye kamilika mwanaume aliyekamilika hawezi kujahapa na kutaka ushari wa kipumbavu kama huu pili sidhani kama unaimani kiroho ikiwa kwa dini youote kwani dini zote principles karibu ileile ingekuwa unaimani kiroho unsingeweza kuja hapa na kumzalilisha katika jukwa badala yake ungemuonea huruma sana na kuzidi kuwa karibu yake zaid kwanza maskini kakuamini kukupa raha zake za moyoni akiamini kuwa wewe ndio maisha yake leo umekuwa mbaya kiasikumuona kama hana samani mbele ya jamii kwa kuwa kakeketwa.hebu kaa ufkiri utakapo muacha utakuwa umemuadhir kiasi gani?
Akiliyake itaharibika kabisa naomba
Kuwa na akili na moyo wa huruma ulipaswa kumuonea huruma sana huyo binti na kumpa mapenzi ya kweli mwanaume ni kuchukuwa rresponsibility na sio kama umeshindwa kwa hilo jambo dogo kabisa utaweza mengine ningeweza mjua huyo dada ningemshauri akuachilie mbali kabisa huna uanaume wa himili matatizo ya ndoa na umeweza kutosiri ya mtungi wakati hilo jambo huwa ni siri ya mume na mke. Snz tip umenikwaza sana moyoni mwangu
 
from SINGIDA... {Mnyaturu}

Mkuu CT SCan Mchina, sasa unaendelea kudhalilisha eneo hili, utasababisha watu wenye mawazo kama yako kuepuka kuoa wadada kutoka huku. Lakni ukumbuke kuwa ndoa haijengwi kwa kuwa na hicho kitu tu kuna mambo mengi ambayo yanachangia ndoa imara na yenye heshima. Unaweza kumpata mwenye hiyo kitu lakini akakusumbua kweli, kama kweli unapenda huyu Mdada, chukua weka ndani na utaendelea kufurahia maisha. Kama utamwacha, utakuwa umemwadhibu sana Kisaikolojia na atafahamu kisa cha wewe kumwacha ni kwa sababu umeishakidhi haja yako. Hatahivyo, sielewe kwa nini unasema unamhurumia, kwa anaumwa ? Kama humpendi Mdada wa watu mwache atampata atakayempenda kwa dhati.
 
Unamuonea huruma!! Kwani mkifanya anapiga makelele nimekeketwa nimekeketwa mie? Acha zako bana,wewe hujampenda huyo dada.
 
ulikuwa unamtamani sema hivyo, ikiwa unampenda kweli lazima ungaoa tangu mlivyokubaliana....
 
na una bahati wewe ungeuziwa mbuzi kwenye gunia kuja kufungua hiyo siku ya harusi nyani tena nyani dume
 
Back
Top Bottom