Alinidanganya kuwa mumewe alikufa kwa stroke kumbe ngoma

NB. Hakuna anayeshare story ya maisha/Mikasa yake kwa nia ya kupata sifa. Kwanza hapa hatufahamiani, Siwezi tafuta sifa kwa watu ambao siwafahamu. Kwa hiyo comment zenu kama mna undugu na Malaika wa pepo au mna connection mbinguni huo ni upumbavu hence unaweza tafuta jukwaa la fellowship ukaendelea na maombi na kunena kwa lugha huko. Hakuna. So far hakuna ambaye hana dhambi hivyo tukae kwa kutulia dadeq. Haya twende zetu......

.....Mimi na mke wangu hatuishi mkoa mmoja. Hayo ni maamuzi yetu ila soon tutaungana kuendelea na maisha tuliyochagua. Umbali kwenye mahusiano ni jambo la hatari sana kwa pande zote mbili iwe mwanamke au mwanaume. Niharakishe kusema kuwa binafsi nikipata upenyo huwa nachepuka ila kwa tahadhari zote yaani ngono salama. Pia huwa nahakikisha wife hagundui iwe jua iwe mvua(Sio sifa njema kuchepuka) Ila nimejitahidi kuwa mnyoofu kama wewe nimeshindwa. Nahakikisha wife hajui kwa sababu mimi ni baba na kiongozi wa familia yangu ninayetegemewa na wanangu pia, Kumheshimu mke ni pamoja na kutomvunjia heshima na kumvunjia moyo hivyo nawajibika. Sasa Wife kwa upande wangu hana shida yoyote yuko very smart and humble ila kilanga changu cha kuchepuka ni udhaifu ambao napamba nao vyema.

Katika pilika na mbanga za hapa na pale mjini kwenye mitikasi nilijikita nipo kwenye 18 za mama mmoja. Age yake kama miaka 38-40 basically amenipita kama miaka 3 au 4 hivi. Mwanzoni kazi zetu zilikuwa zinatukutanisha ila mwishowe tukabadilishana namba na tukadondokea kwenye Huba zito. Ni mwanamke mwenye African figure, Rangi flan ya kuchorea tatoo ikaonekana, tako la kuenea, Kama wewe ni mlevi wa miguu hapa lazima uweke kambi kwa muda. Awali wakati tunatongozana kupitia chattings za hapa na pale alinambia yeye ni mama wa watoto 3 na kwa bahati mbaya mumewe alifariki kwa stroke. Alipooza upande akamuuguza kwa miaka 4 kwa bahati mbaya akafariki mwaka 2018. Kwa kuwa mimi nilikiwa namtaka na tayari nishazama kwenye penzi hizo sikujisumbua kufanya utafiti(Huu ni udhaifu wa wanaume wengi) nikaamini na kuendelea kumnyandua.

Uzuri wake ni mtu mwenye upendo, mtu wa kiasi asiye na matata kabisa na pia ni mtii. Kifupi hana shida na yeyote. Anafanya kazi yake, anasomesha wanae na kwa bahati nzuri mumewe alimuachia nyumba, Shamba na viwanja kadhaa, Haya nilikuja kuyafahamu baadae kwani sikuingia kwenye mahusiano naye kwa ajili ya mambo hayo. Mimi nilitua kwenye anga zake sababu ya utelezi tu, Ninachojaribu kusema hapa ni kuwa hatukuwa wapenzi kwa sababu ya material things ilikuwa ni penzi tu. Usija ukaniita marioo KAZI zilitukutanisha. Kila mtu ana kazi yake na maisha yake, Kitu kingine ni kuwa huyu mwanamke sio mchoyo wa kubanabana mzigo, Anakupa nzimanzima utachoka wewe. Ukimhitaji mkipanga haipanguki lazima mtakutana na kupeana kama lengo la msingi la awali la kutongozana linavyoainisha.

Baada ya miezi 2 siku moja katika story na jamaa mmoja ambaye hajui kama namla yule bibie na wanafanya kazi ofisi moja nilitumbukiza jina la bibie katika Story. Ebwaneeeee nilijuta jamaa akanambia anamjua huyo bibie na mumewe alikufa kwa ngoma na alikuwa muajiriwa na wizara moja ya mambo ya ndani wale jamaa wanaopambanaga na Chadema kwenye maandamano. Dhaa nilichoka. Jamaa akaongeza mbona bibie anatumia dawa toka kitambo na alidhoofu sana hapo katikati kabla hajaanza dawa tulijua anachomoka naye.

Sema baada ya kuzingatia dawa sasa hivi amekaa vizuri na mwili wake umerudi kwenye form. Niliishiwa pozi kiukweli though sijawahi fanya naye bila kinga ila wenge la habari hiyo nimeishi nalo kwa miezi 3 nikiteseka ndani kwa ndani. Wataalam wanasema condom sio protection kwa 100% haya kuna zile za kunyonywa MIC...dhaaa hilo wenge lake ni nyooko kabisa. Kuna siku nakumbuka tulitoka kwenye shughuli moja usiku nikampitisha kwake nimdrop then niende zangu kwangu bibie akaomba achezee Koni....akapewa tukiwa kwenye gari ila sikumla ile siku sikiwa na ndomu.....

Haya mambo usichukulie masikhara. Kila nikikumbuka haya matukio Moyo unazizima kwa msongo wa mawazo. Nilichokifanya nilielekezwa kituo cha CTC ambako huwa anachukulia dawa nikamlia rada kama mara 3 bila mafanikio. Ikabid nimtafute dada mmoja nimpe ile inayopingwa na TAKUKURU nikamuonesha picha zake kupitia instagram page yake.

Yule dada kuona tu picha moja akasema namjua huyu akanipa details zake zote since anaanza kutumia dawa hadi leo kuwa ni member wao. Huu utafiti ndio kabisa ulinichanganya akili nikajua hapa nimekwisha ila tumaini langu pekee likawa ni kuwa sijawahi mla kavu. Baada ya miezi 3 ya kuishi kwa mateso na msongo wa mawazo nikajipeleka mwenyewe kwenye Clinic moja binafsi kucheki Afya. Nyie acheni tu haya mambo. NIMEPONA kwa mara ya pili baada ya ile ya kwanza niliyowasimulia hivi karibuni niliyoiita MANUSURA WA UKIMWI.

NB. Sisimulii hii mikasa ili kujikweza au kujisifia. Vyovyote iwavyo kuna jambo utajifunza kupitia mimi. Kila nikiwaangalia wanangu na mke wangu najionaga nazingua sana sometimes. Ila UBINAFSI ni jambo baya sana maishani. Kila unavyofanya jambo fikiri juu ya watoto wadogo na mama yao. Nimejipa nadhiri kuwa kwa sasa nataka kutulia. Namuimba Mungu anisaidie sana. Mara mbili nachomoka katikati ya mitego ya kutisha, Jaribio jingine najua nitakwenda na MAJI.

NB: Katika Clinic za wamama wajawazito na vituo vya Afya. Takwimu zinaogofya. Wazazi ambao ndio wanazaa kwa mara ya kwanza rate ya maambukizi iko juu. JIFUNZE KUPITIA MIMI. UKIMWI UPO

UKISHINDWA KABISA TUMIA CONDOM kwa usahihi hiyo ndio Option ya mwisho.
Na wewe kwa upoyoyo wako ukaenda kavu kavu?
 
Weee unafananisha kifo na usingizi mkuu, covid ombea Mungu isikupate, ndani ya week moja hayo mateso utaomba pooo

Halafu covid ni hatari zaidi maana hata huitafuti inakuja tu

Usiombe ukutwe na huu mnyama mpya,,,kikwetu wanasema tema mate chinii


hahahahahah
Hii covid watu wanaichukulia kimchezo mchezo,ila omba isukupate.
Nakula vizuri, nafanya mazoezi kwa kiasi na nina afya njema sina ugonjwa wowote.

Ila ilinichapa siku saba kama homa ya kawaida na baada ya kupima,nililala siku 11 taaban nakunywa uji(na nilivyo siupendi) tu ndo chakula changu.

Sio homa ya kawaida walahi.

Nadiriki kusema nimechomokea tundu la sindano.

Wiki mbili baadae sina hamu ya chakula chochote.
 
Fanya ELISA HIV 1 $2 Antbody test ndo uanze jigamba.. vinginevyo ni swala la muda kuwa postive.
Kama unatamani hivi niwe Positive......kitaalam unaambiwa HIV ukiambukizwa inachukua siku 18 hadi 49 kusoma kwenye rapid test. Kaa kitaalam Jomba. Sijasema nilipekua ila nilikuwa na wenge. Unaweza usife kwa ukimwi ukafa na ajali death is parmanent.
 
Hii covid watu wanaichukulia kimchezo mchezo,ila omba isukupate.
Nakula vizuri, nafanya mazoezi kwa kiasi na nina afya njema sina ugonjwa wowote.

Ila ilinichapa siku saba kama homa ya kawaida na baada ya kupima,nililala siku 11 taaban nakunywa uji(na nilivyo siupendi) tu ndo chakula changu.

Sio homa ya kawaida walahi.

Nadiriki kusema nimechomokea tundu la sindano.

Wiki mbili baadae sina hamu ya chakula chochote.
Pole mkuu, watu hawako serious aisee...covid na HIV ni kama kufananisha kifo na usingizi...hiyo kitu isikie tu kwa mtu..Mungu mkuu alikuponya ..sifa zirudi kwake
 
Kila nikiwaangalia wanangu na mke wangu najionaga nazingua sana sometimes. Ila UBINAFSI ni jambo baya sana maishani. Kila unavyofanya jambo fikiri juu ya watoto wadogo na mama yao.
Hapa ndio kwenye point, nawapenda sana watoto wangu na naahidi kuendelea kuzaa, napenda watoto na I am a responsible Dad
 
Hii covid watu wanaichukulia kimchezo mchezo,ila omba isukupate.
Nakula vizuri, nafanya mazoezi kwa kiasi na nina afya njema sina ugonjwa wowote.

Ila ilinichapa siku saba kama homa ya kawaida na baada ya kupima,nililala siku 11 taaban nakunywa uji(na nilivyo siupendi) tu ndo chakula changu.

Sio homa ya kawaida walahi.

Nadiriki kusema nimechomokea tundu la sindano.

Wiki mbili baadae sina hamu ya chakula chochote.
Na huu ndio ukweli mkuu, anaesema covid ya kawaida hayajamkuta. Na mimi ni muhanga nadiriki kusema nimeponea kwenye tundu la sindano.

Huo ugonjwa ni habari nyingine aisee...!
 
sijui kwa nini nimeufungua huu uzi,nimelala zangu hapa na mchepuko ananisifia eti najua kuchakata papuchi hadi imekauka ,

ila huyu mwanamke anajua kunyonga kiuno plus kuifinyia kwa ndani.

kwahyo haka kapapuchi nakokaona kwa mchepuko ndo kifo .
 
ila hawa watu na mashairi yao wanatupoteza aiseee.

gnako_____gusanisha hasi na chanya
nandy_____unapitaga wapi peku bila sendo
mauasama____chakula cha watoto mwagia ndani
harmonize______viatu viko mfukoni
younglunya_____sio hapo kati nanyonya hadi pua
mondi_____aiweke iweke/pitisha kwachini
jux_____sugua
billnas__vile anaikalia kwa juu kama anataka kutaga
47____we mpelekee moto
mondi____anataka nipige peku,
zuchu ____itelezeshwe kwa mate
dully_____nikumwagilie wino
harmonize___leo nakutooo-oo_toto


baada ya kuwasikiliza hawa ule wimbo wa ferooz __starehe unakuja kukushauri uachane na ushauri wa hawa wasanii wetu


ukimwi upo japo imani yangu inaamini mitishamba inaweza kuutibu.

tuzidi kumuomba mungu atuepushe watoto wetu watateseka mno.
 
ndugu yangu, kama una umri over 30,jua kwamba umelalana wanawake wengi wenye virusi. bila ndomu wengi wetu tungeshakuwa marehemu. mimi sijipi stress, awe na ngoma au asiwe na ngoma, nakula mzigo vizuri tu . ndomu imeniokoa mara nyingi sana
 
Back
Top Bottom