Aliniacha,leo mwenyewe anataka kunirudia!!

Samahani kama nitakukwaza lakini sina budi kuuliza. Hivi senetor, kwa nini unapenda kurudia rudia jambo?? Nasema hivo coz ni siku chache tu zilizopita ulileta uzi ukisema ex-girl friend wako anakutaka na ukauliza kuwa utembee nae au la! Again kuna thread nyingine ukauliza almost the same thing ispokuwa penyewe alikuwa ni galfriend wa rafiki yako ndo anakutaka. Na leo tena umekuja na uzi wenye mambo yaleyale, ina maana ushauri/maoni unaopewaga huwa unaenda wapi i.e huwa unaufanyia nini? Well, repetition/mgongano wa nyuzi sio mbaya ikiwa ni kwa watoa maada tofauti, lakini ikiwa ni kwa mtu yuleyule jamani........ (IMO) inachosha hasa ukizingatia na jambo lenyewe ni hili!!
 
Kitendo cha wewe kumdanganya kuwa huna galfren ina maana tayar ulikuwa na plan A...kuchakachua. Wala sio kutaka ushauri tena.Otherwise,suala la kumchakachua sio idea nzuri sana hujui baada ya kuachana na wewe kapitia sehm ngapi..kuna magonjwa teele sasahivi...hiyo hit n run yako inaweza kuwa a hit for life..ukimwi shuuu!! sijui kama utakuja kuomba shauri humu...Wewe mpe kubwa,endelea na maisha.nini kujitia gharama za guest house bila sababu..!!!
 
Back
Top Bottom