Mimi naona tatizo sio yeye ni wewe huwezi kumkunja hadi analeta ukurugenzi unaupokea angalia utapokea na ulibwi tena bado unataka kudate duu we jiwe
ndugu nashukuruni kwa ushauri wenu..ni hivyo jana tu kanipigia simu muomba nimsaidie pesa anaumwa..na nimjamzito wa miezi mitano kwa jamaa aliemtosa..kweli kama nibadamu utamchunia kweli..hapa najua imegeuka ukaka..nina demu wangu kwa sasa..lakini huyu nimeshindwa kumtolea nje kabisa ndugu zangu..ila nahitaji kupumzika..na matatizo yake kila siku, nilishawahi kumpa mtaji wa biashara ili tuachene kwa amani ..cha ajabu akala wote..ndio akaibukia na mimba iliyokataliwa..niko njia panda..maana ubinadamu unanisuta kumtenga na mimba yake..ingawa sio yangu..ninatarajia kuoa mwaka huu..lakininaona haya mawasiliano yetu yataniharibia mambo yangu..mbinu bora ya kumwaga ni ipi nahitaji ushauri..

siyo ccm ,ni cdm ndiyo wakisimamisha hata jiwe arachuga against mtakatifu yeyote kwa tiketi ya ccm watalipigia kura jiwe la cdm.Sisi huku Arusha tumeambiwa hata likisimamishwa jiwe na ccm, tutalipigia jiwe kura labda ndo hili. Samahanini kwa kutoka nje ya mada.