Alichofanya Rais ni sawa na kuanika udhaifu wa... halafu akaendelea kuishi nae!!

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Wandugu,

Hivi ipo tofauti gani kati ya staili aliyotumia rais kwenye semina elekezi ya hivi karibuni huko Lidodomya na mimi ambaye naamua kuweka hadharani udhaifu wa mke wangu mbele ya waandishi wa habari kwa mbwembwe zote halafu nikitoka hapo naendelea kuishi nae???
 
Hivi kuna kitu ambacho Kikwete alikisema siku ile ambacho hakifahamiki? Alikuwa anatafuta kujitetea tu... ukichunguza kwa makini ni blame game inaendelea... Kikwete anataka udhaifu unaoonekana kwenye serikali yake uonekane kuwa unatokana na wasaidizi wake na wasaidizi nao, ingawa hawasema hadharani wanatangaza huku vipembeni kuwa hawana kiongozi
 
Back
Top Bottom