Ali Kiba: Sina nyumba bado, na hata nikiwa nayo sitajitangaza

Ha ha haaaaaaaaa

F. Gonga alimfurumusha kumtoa katika nyumba yake, ila hata kama ni uamuzi wake. Hasingeongelea angekaa kimya tu, sielewi y kaongelea hata kujibu, angenyamaza.

Mashindano ya nyumba sasa, interesting.
Duuuh huyu jamaa mda wote anaimba hela huwa halipwi mana kwa mda wke aliokaa kwenye game asingekosa kua n nyumba hata ya 40m
 
Itabidi tubadili maana ya show off.

11363645_192209481161746_502612829_n.jpg
 
Back
Top Bottom