Ali Kiba - Lupela

Wacha wee hivi ukimwekea mamako shake ua bambam ya mond na Mwana ya alikiba atapenda ipi labda??...#samahani lakini jibu ni Mwana na ikitokea kataka shake ua bambam basi simply atakuwa SHANGINGI hahahahaaaaa
Huwa mwanaume anayekimbilia kuwaongelea wazazi kwenye issue zisizo za lazima huwaga simtofautishi na mwanamke. Huwezi kumtetea msanii umpendae bila kuhusisha baba au mama?

Acheni izo
 
cf1b12e9c5209ad9c433fa25f0bf8bbe.jpg

Tembo baada yakusikia lupela official on mkito ni ile ile iliyoleak jana teh teh
 
Huwa mwanaume anayekimbilia kuwaongelea wazazi kwenye issue zisizo za lazima huwaga simtofautishi na mwanamke. Huwezi kumtetea msanii umpendae bila kuhusisha baba au mama?

Acheni izo
Unalia nn jibu swali puuumbav.... Me ukinifananishe na mwanamke nafurahi tu kama ambavyo nakufananisha ww na nguruwe na naomba ufurahi plllllllllz hahahahaaaaa...
 
Naikubali Mwana na zote kurudi nyuma. Ali Kiba alikuwa fundi, kwa sasa sijui ni umri au ndo kipaji kinamaliza uhai wake.
Tuoneshe andiko lako ambalo ulisema wazi unaikubali Mwana ili tujue kama umezungumza ukweli na siyo defence mechanisim... Kwan mwana ya mwaka gani hadi useme jamaa kazeeka?...hahahahaaaaa Kiba utawauaaaa
 
Kwa wimbo alotoa Ali K akustahili kabisa msanii mkongwe kwa Game kama yeye.Afu baadae muanze kulalama mtv Base kwa kawimbo wa Hussein Machozi.
Labda Ikitokea akihojiwa Ali K na wachambuzi Wa muziki.Akiulizwa mbona ngoma linafanana na Ngoma la Hussein Machozi?
Ali K atajibu nini?
Hivi MTV ni radio station siku hizi ina deal na audios nheenheenheee...mnaharisha tu hadi hamjui mlikunya saa ngap nhenhenhee
 
Hii trend ya kutoa ngoma kila leo kama Ndomo imemshinda kiba.. Ubunifu wake haumtoshi kufanya anachotaka kukifanya ili awe kama Ndomo... Mwenzake kila akitoa kitu kinavutia... Sasa kiba anatoa ngoma ka hii kweli!???. Kuanzia cheketua Video kiba akaanza zingua, mpaka hapa anaendelea kuzingua tu..
Bora awe tu kama zamani anajipanga akitoa kitu kinakuwa chenyewe
Hata ile ndomo alopiga kwa beat ya yamoto band naona nayo ilivutia ikashika chati mbali mbali ndani na nje ya nchi nheeenhenheeeeee...
 
Jana mastaa wote walikuwa pale nyi mnapiga tu YOWE nhenhenheeee kibaaaaaaaa waonee Huruma hawaaa
 

Attachments

  • 1454716737167.jpg
    1454716737167.jpg
    81.2 KB · Views: 36
Hahahahaaaa kiba bwana akitoaga ngoma tu mkito hadi mtandao unafeli hahahahaaaaa
 

Attachments

  • 1454716906227.jpg
    1454716906227.jpg
    56 KB · Views: 46
Wimbo wa kuchezea club lakini mtaani hauwezi kukamata kitu..jamaa bado anasafari ndefu ya kumfikia Diamond..
 
Wimbo wa kuchezea club lakini mtaani hauwezi kukamata kitu..jamaa bado anasafari ndefu ya kumfikia Diamond..
Anhaa kwa hiyo siku ile ulipokuwa unazungumza nae King Kiba ndo akakwambia anataka amfikie diamond... Daaaah kweli thana aysee... Saaasa hivi ile kaswida inaitwa je utanipenda sijui inapigwa sana club eeeh?...ookeeey kwa hiyo kipimo cha nyimbo ni kupigwa klab na mtaani tu eeeh ?...ooookeeey yes yes yes.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom