Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,104
Bifu ya kiba na diamond ni ya biashara sasa wapumbavu cjui kusoma hamjui hata picha
Bifu ya kiba na diamond ni ya biashara sasa wapumbavu cjui kusoma hamjui hata picha
Abou Saydou haya mapopoma sio ya kuyaambia mambo kama hayo.Haaaahaaa goli la mkono kivipi
Kiba amesharekodi project ya cokestudio ,
At the same time akapiga his personal project na Neyo & iceprince
Pamoja na sauti Sol
nifah ,ngoja niwaache nisiwajibu na pumba zao ila waandae masikio yao vizurAbou Saydou haya mapopoma sio ya kuyaambia mambo kama hayo.
Yaache tu yajifariji hayajui gharika linalokuja.
Mungu ambariki saba Ally Kiba jaman na sio yule zuzu daimond
Huna lolote.
Tatizo hujaelewa...utakaa Ivo ivo na unafiki wako wa kizee.
Haaaahaaa goli la mkono kivipi
Kiba amesharekodi project ya cokestudio ,
At the same time akapiga his personal project na Neyo & iceprince
Pamoja na sauti Sol
Huna lolote.
Tatizo hujaelewa...utakaa Ivo ivo na unafiki wako wa kizee.
wabongo tunapenda sana kuchukulia vitu kawaida kawaida....labda sifuatilii mziki ila hii comeback ya king kiba inabidi iweke kwenye historia!staki kuamini na nyimbo mbili tu tangu arejee ndo anasumbua hivi!huyu jamaa inabidi awe anatoa wimbo na kupumzika kama miaka miwili na kurudi tena kwani ataendelea hivi atauua mziki wa bongo kwani atabaki peke yake kwenye game!...kuna watoto tangu king arudi sijui wameishia wapi maskini!nakumbuka king alivyokuwa likizo mziki wa bongo ulikuwa kama kambale yaani hujui mwanamuziki mkubwa yupi mdogo yupi nayejua yupi asiyejua yupi eti mpaka rich mavoko akaleta usumbufu kwenye game!... tangu ally arudi kwenye game kuna million 175 kavuta kwenye show chache nizijuazo ambazo hizo nna uhakika nazo bado hizo zingine nyingi!ila katulia kama siyo yeye!hana tantarira
Sasa Kama Ana izo 175 million mbona bado yeye na familia yao inalelewa na sugar mummy ambae yupo uingereza katika basic needs