Ali hadaiwi???

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
NIMESOMA KATUNI YA KWENYE MAJIRA LA LEO IMENIFURAHISHA SANA,ETI ALI ADAWI ANAITWA ALLY HADAIWI NA AMEWAFUNGA WAANDISHI WETU MACHO NA WANASEMA HATA UNGESEMA TUYAACHE PALE GETINI TUKO TAYARI MKUU??

mmmh rushwa bwana kumbe jamaa walipewa mlungula wasimpige ALLI HADAIWI PICHA??mnatuaibisha waandishi mnakuwa kama JK na RA kwa nini???
 
Unaweza kuona creativity ya artists, kuna mmoja wetu kama sikosei wareboya kaiweka hapa jamvini asubuhi safi sana!
 
Hii hapa mkuu.

Hadaiwi.jpg
 
Back
Top Bottom