Askari wa miguu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 339
- 119
Hatuombei kwa jina la Yesu, ila tumswalie Mtume SAW au sio maalim!?Watu waelewe kitu kimoja,,,,,Uislamu umesimamia katika kumwabudu Mungu Mmoja WA haki,ambaye Hana mwana wala Baba wala roho mtakatifu,mambo hayo katika Uislamu shirki kubwa Sana na ni dhambi ya Kwanza Kwa Mwenyezi Mungu.
Kwahiyo hakuna Muislamu ambaye analijua hili na kwenda kuombewa Kwa Jina la Yesu...kwani kufanya hivyo ni kumfanya kiumbe cha Mungu kuwa Mungu kitu ambacho si kweli,ni ngumu kusikia lakni ndio ukweli wenyewe.