Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,812
- 218,471
Msando mrudishie Zitto hela zake .
Swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza ZITTO?
Hiki kipengele kimekaa kidikteta sana.Hii katiba haina tofauti na katiba pendekezwa ya CCM,inayotaka raisi asishitakiwe hata akitoka madarakani.
Nawewe kweli unatia aibu kwa maelezo yako.Unasema kwanini katiba haitumiki kwa viongozi,huyu Zitto alikuwa ninani kama hakuwa kiongozi?.Mbona ilivyofanya kazi kwa madiwani sehemu kubwa nchini kuwafukuza haukuleta povu?.Tumia akili ndugu[/QUOTE
tambua Kuwa kuna viongozi asilia na ndio ninaowasema hao wote kina Lissu wamo tu kutetea watoto wao waione toilet ila siku wakigusa interest za viongozi asilia ndo watakapojua mbivu na mbichi. Umeambiwa kuna hata waliopatwa na umauti kwa kudhani watathubutu. Nikisema viongozi nasema wale asilia sI semi wa kutia geresha Kuwa kuna demokrasia ya kweli.
Kwa hiyo katiba ya chadema inatumika kwa zitto tu, kwa Mbowe haitumiki
Hiki kipengele kimekaa kidikteta sana.Hii katiba haina tofauti na katiba pendekezwa ya CCM,inayotaka raisi asishitakiwe hata akitoka madarakani.
Mkuu hakika umesema ukweli mtupu.
Mwanasheria feki huyu. Mh tundu ametoa kwenye katiba ya CHADEMA hakutunga yeye yakwambaaa mwana CHADEMA yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama so huyu mwanasheria Alienda shule kafanya nn? Da!
yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama
Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.
Chanzo: Clouds TV
Mwanasheria feki huyu. Mh tundu ametoa kwenye katiba ya CHADEMA hakutunga yeye yakwambaaa mwana CHADEMA yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama so huyu mwanasheria Alienda shule kafanya nn? Da!