Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Siamini kama hoja hizi zimetolewa na Wawili ambayo pia ni mwanachama na kiongozi wa Chadema.
 
Huyu Mwanasheria wa ZZK ni bomu sana yani ameshindwa kutafuta mbinu za kusogeza kesi mbele ili mteja wake amalizie ubunge na kulamba kiinua mgongo. Halafu anajifanya kujitetea kwa maswali ya kitoto eti nani mwenye mamlaka ya kumfukuza zzk, si asome katiba inaeleza kila kitu. Agghrrrrr...
 
Swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza ZITTO?

Katiba ya chama ndio ya kwanza yenye mandate
Ya kumvua uanachama mtu yeyote maana
Hata Kama ukisema ni kamati kuu au kikao gani
Lazima kingefuata matakwa ya kikatiba.
Zito wakati anapeleka shitaka mahakamani
Alikuwa anajua matokeo yake yeye ni msomi
Hilo alilijua. Hapa katiba imetendewa haki .
 
“Sisi hatuwezi kukubali kuwa na akina Yuda Eskarioti ndani ya chama chetu, taratibu zinazotakiwa kufanywa na chama hivi sasa ni kuiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ili iwasiliane na mamlaka husika kwa ajili ya hatua zaidi,”
 
Hiki kipengele kimekaa kidikteta sana.Hii katiba haina tofauti na katiba pendekezwa ya CCM,inayotaka raisi asishitakiwe hata akitoka madarakani.

Kama ile ya TFF na ya simba kuwa vyama hivyo havishtakiwi mahakamani. Alipofanya hivyo Michael Wambura mmesahau yaliyomkuta pamoja na yule mwanasheria? Kama mtu hukubaliani na katiba unaondoka kwenye chama hicho. Mbona vyama vya siasa viko vingi? Hata Obasanjo ameondoka. What is the big deal here? Are you in ZZK's pay roll? Seemingly.
 
Nawewe kweli unatia aibu kwa maelezo yako.Unasema kwanini katiba haitumiki kwa viongozi,huyu Zitto alikuwa ninani kama hakuwa kiongozi?.Mbona ilivyofanya kazi kwa madiwani sehemu kubwa nchini kuwafukuza haukuleta povu?.Tumia akili ndugu[/QUOTE

tambua Kuwa kuna viongozi asilia na ndio ninaowasema hao wote kina Lissu wamo tu kutetea watoto wao waione toilet ila siku wakigusa interest za viongozi asilia ndo watakapojua mbivu na mbichi. Umeambiwa kuna hata waliopatwa na umauti kwa kudhani watathubutu. Nikisema viongozi nasema wale asilia sI semi wa kutia geresha Kuwa kuna demokrasia ya kweli.
 
Kazi ya mwanasheria ni kutafsiri sheria,kitu kilichofanywa na lissu huyu msando ana bwabwaja tu.atwambie ni demokrasia ipi hyo isiyokua na mipaka.?asitake kutumia umbumbu wa watanzania wa kuyojua sheria kuleta viloja badala ya hoja.
Kwamba zitto anasimamia escrow.?kwani hana wasaidizi wake au kwenye kamati yuko peke ake.?akiondoka akina firikunjombe wataendea alipoachia.zitto anajificha nyuma ya pazia la demokrasia kufanya upumbavu wake,anataka tuamini kuwa bila yeye siri sa esrow zisingefichuka,
zitto ni taswira halisi ya vijana wasomi wa kiafrika,wljamii zinajitoa kwa hali na mali kuwapeleka shule,wakishafamikiwa wanawafeuka,ndicho hiki anachokifanya zitto,kila taasisi iina taratibu zake..aende tena aende salama."sometimes gud dictotarship is better than bad democracy..!
 
Hiki kipengele kimekaa kidikteta sana.Hii katiba haina tofauti na katiba pendekezwa ya CCM,inayotaka raisi asishitakiwe hata akitoka madarakani.

mkuu akhsante,hawa CDM wanashangaza sana,huku wanapigia kelele hili na kumbe huku nyuma wanafanya yale yale wanayopigia kelele
 
Mkuu hakika umesema ukweli mtupu.

Safi sana CDM hii ni sheria nzuri sana hasa
Kwa hawa wanafikina watumishi wa Maccm
Wewe : eti demockrasia Wewe unatumika
Kuua chama alafu tufanye je chama kisife
Suluhu nikatiba tu ndio maana Maccm
Yamechakachua Rasm ya warioba
Kwa kuogopa haya vivaa CDM hongera
Katiba ya chama:
 
Mwanasheria feki huyu. Mh tundu ametoa kwenye katiba ya CHADEMA hakutunga yeye yakwambaaa mwana CHADEMA yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama so huyu mwanasheria Alienda shule kafanya nn? Da!

Mkuu tuonyeshe hicho kipengele kinachosema
yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama
 
Sipendi kuingia kichwa kichwa linapokuja siasa za Kitanzania,Hapa niseme tu sababu hasa ya Zitto Kufukuzwa si hii ambayo tumeaminishwa kwenye vyombo vya habari,kuna sababu nzito nyuma ya maamuzi haya,ni suala la kuwahiana tu hapa.
 
Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;

1. Amehoji je, kama
CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?

2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.

3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?

4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?

5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki
CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.

6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.

7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.

9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.

Chanzo: Clouds TV

Huyu mwanasheria wa ajabu ajabu kuwahi kutokea ndani ya CHADEMA alivyotoa huo ushauri kwa Zitto inamaana yeye kama mwanasheria na diwani wa CHADEMA Hakuwa amesoma katiba?

Hivi kweli hata anakosea kufungua shauri anaenda mahakama isiyohusika na hiyo kesi bado anajiita mwanasheria? Mpuuzi sana huyu dogo
 
CHADEMA did a good timing.....Huwezi kupambana na taasisi ukashinda

Hii CHADEMA watu wamekufa ,wengine wamebaki vilema....Alafu mbumbavu mmoja asumbue watu
 
Ni chama kibovu kisichokuwa na busara,kina issue nyingi zinafata hadi uchaguzi ufike,hawakutakiwa kukurupuka kuita media na kujigamba,wangeacha ama hizi habari zeleak kwa waandishi,lakini hawana washauri hawa,ni watu wanaopenda matukio na kukimbilia vyombo vya habari. Hii inaweza ikawagharimu sana. Katiba gani hiyo chama ambayo inalinda walioanzisha chama kwa maana ya kuwa ni mali yao,halafu mnadai mnataka katiba bora wakati ya kwenu ni mavi? Hivi nyie wachaga mkipewa nchi si mtawamaliza watu? Ningekuwa mimi Zitto ningewafix vibaya mno. Namshauri Zitto aondoke Ukawa na aende akajenge act,kuna hatari hapo Ukawa,upo na watu ambao ni matapeli ole wako
 
Mwanasheria feki huyu. Mh tundu ametoa kwenye katiba ya CHADEMA hakutunga yeye yakwambaaa mwana CHADEMA yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama so huyu mwanasheria Alienda shule kafanya nn? Da!

Kati ya kufukuzwa kwake na kwenda mahakamaki unakumbuka kipi kilianza?
 
nilitegemea kuona hoja za kisheria kumbe ni porojo za kisiasa
wewe msando umemlia zitto pesa zake za kuendesha kesi wakati ukijua zitto hawezi shinda kesi
 
Huyu msando ndiyo jana niliona uzi wanamlinganisha na tundu lissu huku ndani.!!?he is such a failure na kaidharirisha professional yake,a good lawyer is who finds loopholes to defend his client.sasa huyu msando ni nn hiki anafanya,this is pathetic msitake kunambia Hizi ndo sheria za udsm zinavyofundishwa.sitaki kuamini mwanasheria wamwanasiasa mkongwe kma zitto amekosa kabisa hoja za maana kisheria kumlinda na kutetea mteja wake na badala yake amekua msanii na mwanasiasa tena mwanasiasa asiyekua na hoja kabisa amebaki kuwa kuku aliyekatwa kichwa.!!
 
Back
Top Bottom