Al-Qaeda yathibitisha kifo cha Osama!!!!!!!!

hivi kwa nini hii kitu imegoma kabisa kuniingia akilini lakini?
 
Ninyi ndio mnaoamini kila pumba!Unajuaje kama walio-comfirm ni Al-Qaeda kweli. Ovyooo.Wamarekani wamemwaga hela nyingi sana ili pumba yao ya kuuwawa kwa Osama ikubalike.Halafu kumbuka vikundi vyote wanavyoviita vya ugaidi is their brain child!
Yatoa taarifa kupitia mitandao ya kijihadi http://bbc.in/inmKsS
 
Huyu Gaidi Osama kauwawa na Marines wa US hakuna haja ya kuthibitishwa na mtandao wa hao magaidi wenzake.
 
Back
Top Bottom