Omari Makoo
Member
- Sep 6, 2016
- 78
- 39
*Mechi ya leo InshaaAllah tuitegemee kupitia Link hii*
*Al Masry SC v Simba SC*
*2030 hrs*
*Mechi ya leo InshaaAllah tuitegemee kupitia Link hii*
*Al Masry SC v Simba SC*
*2030 hrs*
ON sport ni channel namba ngapi mkuu ?Mkuu tungua ON sport ni rahisi sana uwe dish futi nane tu
Usipoteze bundle yako bure.Ahsante Mkuu,
Ngoja nifanye mchakato wa bundle
game mbili na nusuSaa ngapi
Jamani kuweni Wazalendo Basi We Simba Ikifungwa Unapokea Kiasi Gani cha Pesa Ndani ya Mfuko Wako? Tuipende Nchi yetu na VilivyomoUsipoteze bundle yako bure.
Simba inapigwa leo 2 - 1.
Kwani ikishinda napokea kiasi gani. Piga mbwaaaaa haoJamani kuweni Wazalendo Basi We Simba Ikifungwa Unapokea Kiasi Gani cha Pesa Ndani ya Mfuko Wako? Tuipende Nchi yetu na Vilivyomo
Naimani Apo utakuwa unaiombea Dua Ishinde.
BombadiaJamani kuweni Wazalendo Basi We Simba Ikifungwa Unapokea Kiasi Gani cha Pesa Ndani ya Mfuko Wako? Tuipende Nchi yetu na Vilivyomo
Naimani Apo utakuwa unaiombea Dua Ishinde.
HahahahahaKwani ikishinda napokea kiasi gani. Piga mbwaaaaa hao