Al Masry vs Simba Sc kuonyeshwa na Tv hizi

Sisi waarabu bado tunajadili suala la kutuzimia umeme na kuleta mvua kwa wakati mmoja lazma tulipe nasi
 
Leo [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Wamepania Game ya [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] utazani wao hawaendi Kubakwa bila ya Ndomu kule [HASHTAG]#Botswana[/HASHTAG].
 
oi mazee.. hii ni uhakika 100% kuwa DMC Sport wataonyesha hii game, sio watu tunaandika mabango alafu mida inafika wadau wanambulia patupu hahaha
 
Wadau channel nyingine itakayoonyesha hii mechi inaitwa ON sports na yenyewe ipo hapo hapo Nile sat
Screenshot_20180317-130616.jpg
 
Back
Top Bottom