Al kaaba hakuna tofauti na wakristo na msalaba

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,739
Ukiangalia wanachopingana waislamu na wakristo ni hata kuvielewa unaona wote sawa tu.
Muislamu anakwambia mkristo ana abudu masanamu.
Mkristo ana kwambia usiabudu miungu mingine ila mimi.

Wote hawa wanajikuta wakiabudu manabii wao walio bora kuliko wengine kama buza na wahindi.

Kiufupi tuna abudu watu waliokufa kutupa mafundisho.
 
Ukiabudu Mungu ambaye hayupo bora hata uabudu sanamu, maana sanamu lipo, linaonekana.

Kuna siku linaweza kukusaidia hata kwenye vagi ukalitumia kumpiga nalo mtu
 
Unaambiwa Juma Nature na Masoud Kipanya walijisugua na msasa na steel wire kupata sijdah ile alama nyeusi kwenye paji.

Unaambiwa wakikumbuka walivyoahidiwa wakifa kwenye uislamu wanabadilika kuwa waarabu wanaswali zaidi ya mara tano kwa siku

Waislamu wengi waafrika weusi wanajituma sana kwenye uislamu kwasababu wakifa watabadilika na kuwa waarabu.
 
Ukiangalia wanachopingana waislamu na wakristo ni hata kuvielewa unaona wote sawa tu.
Muislamu anakwambia mkristo ana abudu masanamu.
Mkristo ana kwambia usiabudu miungu mingine ila mimi.

Wote hawa wanajikuta wakiabudu manabii wao walio bora kuliko wengine kama buza na wahindi.

Kiufupi tuna abudu watu waliokufa kutupa mafundisho.
Unaendelea kudhihirisha ujinga wako, waislam wanaabudu nabii!?..kila siku unaandika kuhusu uislam,unaelimishwa lakini bado tu!!..akili yako ikoje!?
 
Unaambiwa Juma Nature na Masoud Kipanya walijisugua na msasa na steel wire kupata sijdah ile alama nyeusi kwenye paji.

Unaambiwa wakikumbuka walivyoahidiwa wakifa kwenye uislamu wanabadilika kuwa waarabu wanaswali zaidi ya mara tano kwa siku

Waislamu wengi waafrika weusi wanajituma sana kwenye uislamu kwasababu wakifa watabadilika kuwa waarabu.
Umenyoa mavvuzzi!!?..kanyoe!
 
Unaenda Maca, umetumia zaidi ya 3M unaenda kumtupia mawe shetani?
Shetani unaweza kumrushia mawe kweli? Hapa tumepigwa mchana kweupe
 
Wewe mpuuzi una kichwa kigumi,huelewi,ungekua unaijua uislam usingeuliza Hilo swali...jifunze kwanza kuhusu uislam,acha nyege za kujifanya kuandika kila kitu
Sindano imeingia haswaa. Unaweza kumrushia mawe shetani?
Unatumia zaidi ya 3M unaenda kumrushia mawe shetani. Unamjua shetani?
 
Wewe ni mpuuzi mwingine,ulishawahi kufanya alama ya msalaba!?..Ina maana gani!?
Mtu anayefanya ishara ya msalaba na yule anayetumia zaidi ya 3Milion kwenda kumtupia mawe shetani. Nani ni mpuuzi?
Unachukua jiwe unamponda shetani. Shetani toka? 😀😀😀😀😀😀
Nilisikia wanavyosoma Al-badili, nikachoka. Ni uchawi 100%
 
Mtu anayefanya ishara ya msalaba na yule anayetumia zaidi ya 3Milion kwenda kumtupia mawe shetani. Nani ni mpuuzi?
Unachukua jiwe unamponda shetani.
Nilisikia wanavyosoma Al-badili, nikachoka. Ni uchawi 100%
Ishara ya msalaba inamaanisha nini!?..acha kuruka
 
Ukiangalia wanachopingana waislamu na wakristo ni hata kuvielewa unaona wote sawa tu.
Muislamu anakwambia mkristo ana abudu masanamu.
Mkristo ana kwambia usiabudu miungu mingine ila mimi.

Wote hawa wanajikuta wakiabudu manabii wao walio bora kuliko wengine kama buza na wahindi.

Kiufupi tuna abudu watu waliokufa kutupa mafundisho.

Yesu hakufa alifufuka na kupaa mbinguni,mtume mudi anasubiri kuchomwa moto pamoja na alla.
 
Ukiangalia wanachopingana waislamu na wakristo ni hata kuvielewa unaona wote sawa tu.
Muislamu anakwambia mkristo ana abudu masanamu.
Mkristo ana kwambia usiabudu miungu mingine ila mimi.

Wote hawa wanajikuta wakiabudu manabii wao walio bora kuliko wengine kama buza na wahindi.

Kiufupi tuna abudu watu waliokufa kutupa mafundisho.
Hakuna true christian mwenye chapa ya Kristo na Mark of Holly Spirit anayeabudu sanamu!!

Catolicano Si wakristo, ni pagans ktk sura ya wakristo!!
 
Back
Top Bottom