Akuku Danger....alizikwa baada ya miezi miwili.....

Panga La Shaba

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
209
68
Yule Mjalauo aliyekuwa na wake zaidi ya 100 na watoto zaidi ya 300 nchini Kenya amezikwa baada ya miezi miwili ya kusuburi wanandugu wafike.Jina lake ni Ancentus Akuku lakini alikuwa najulika zaidi kwa jina la Akuku Danger,kwa kuwa alikuwa na kipaji kikubwa cha kutongoza....alikuwa akimpa sera mwanamke akatai,anamalizana naye siku hiyo hiyo.........Jamani wajaluo alioko hapa jamvini hii tabia ya kuwa na wake wengi kwanini bado mnaitukuza atakwenye karne hii ya 21...??????????

Ila na msifu Akuku Danger kwa kuweza kuwarithisha wanawake wote hao...maana si mzecho....

From BBC
"I'm called Danger because I defeated so many men," he says. "I was very handsome and so I could get many wives. "
 
Hivi Huyu Mzee Akuku alikuwa anawakumbuka wake zake wote ama kuna mijemba ilikuwa ina msaidia?
 
akuku6.jpg


Some of Akuku Danger's widows during the funeral on December 4, 2010.



AKUKU1.jpg


Mourners view the body at Aora Chuodho home on December 4,2010.



akuku4.jpg



An elderly man mourns at Asentus Akuku's funeral in Ndhiwa District.



akuku2.jpg


An elderly lady is carried to the funeral service tent during Asentus Akuku's funeral



akuku3.jpg


Youths dance during funeral service of Akuku danger
 
Huyo mmoja tu shughuli, 100 je? Huyo bwn anatisha zaidi ya ukoma!
 
Hiyo picha ya pili iliyo na jeneza ina tangazo ambalo linasema "DO NOT TAKE PHOTOGRAPHS HERE", naona mpiga picha hakuiona. Ma lilimaanisha kwwamba usipige picha pale kwenye hilo Tangazo lenyewe?
 
Hivi Huyu Mzee Akuku alikuwa anawakumbuka wake zake wote ama kuna mijemba ilikuwa ina msaidia?

Alikuwa anawafahamu wakeze wote na watoto ikiwa pamoja na tarehe waliyozaliwa Pia kulikuwa na sheria kali mke atakayezini anapewa talaka
 
Alisaidiwa sana kulelewa baadhi na hiyo isingewzekana kuwanasa kwa sababu malezi hayafanyiki mbele zake
 
Yule Mjalauo aliyekuwa na wake zaidi ya 100 na watoto zaidi ya 300 nchini Kenya amezikwa baada ya miezi miwili ya kusuburi wanandugu wafike.Jina lake ni Ancentus Akuku lakini alikuwa najulika zaidi kwa jina la Akuku Danger,kwa kuwa alikuwa na kipaji kikubwa cha kutongoza....alikuwa akimpa sera mwanamke akatai,anamalizana naye siku hiyo hiyo.........Jamani wajaluo alioko hapa jamvini hii tabia ya kuwa na wake wengi kwanini bado mnaitukuza atakwenye karne hii ya 21...?????????? Ila na msifu Akuku Danger kwa kuweza kuwarithisha wanawake wote hao...maana si mzecho.... From BBC "I'm called Danger because I defeated so many men," he says. "I was very handsome and so I could get many wives. "
Wake wengi ni utajiri
 
Huyu mzee aliishi katika nyakati zake, nyakati tulizonazo pia ni tofauti, mwacheni akapumzike (if at all kuna kupumzika huko), ni sehemu ya historia
 
Yes Mr. Akuku Danger the leading Polygamist is ded! R.I.P Jogoo la Kenya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom