Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Huyu angekuwa Marekani angekuwa tajiri sana kwani kwenye basketball angegombewa
 
Namsikitikia maana hata kama ana uwezo ila 'Bombadier' ataziskilizia kwenye bomba
Ni kwa vile hatuna ubunifu huyu angeweza kutumika kutengeneza matangazo mbali mbali na inawezekana akawa ni mrefu kuliko watanganyika wote. Tumgemshindanisha kidunia. Ni vema John amuone na kumsaidia
 
Unamsujudia sana huyo Trump eti! yaani umeona kila hoja aliyosema ina mashiko, pole sana. mtandao wa TIGO hivi uko dunia nzima au?
Naona dawa imekuingia panapostahili,ndio maana umeamua kutoa povu kama umebugia Omo, mimi na wewe ni nani aliyewaza kua dushe la huyo Baraka? Unashindwa hata kuchukua dakika moja ya kujitafakari? Mpaka hapo utakua umeshajijibu wewe mwenyewe kua huo mtandao wa TIGO ni wewe au mimi?

Wapi nimesema kila hoja ya Trump ina mashiko? Badala ya kuchangia maoni jinsi ya kumsaidia huyo tall kupata matibabu wewe unawaza dushe lake litakua na ukubwa gani? Hivi hujishitukii japo kidogo tu? Au wewe ndio kina hamnazo?
 
Moi semeni ukweli, kwanini msitoe specification za hicho kitanda na kufanya oda pale DIT, UDSM au TATC kwa ma engener wetu waliobobea? Na hivyo vyuma kwa nini msinunue online popote kule na vikawa Dar within two to three weeks? Au mnataka pesa ya escort maana watanzania tumejaa ujanjajanja wa kuongeza kipato chetu
 
Waandishi wa habari sijui hata kwanini hawaingii machimbo kutafuta habari zisizo za kawaida ...hebu chekii huyu tall ni habari tosha kwa wana jamii pia huenda angekuwa kwa urefu wake tu angevutia wafanyabiashara na makampuni kutangaza biashara zao au hata wanaotengeneza filamu ....yeye angepata ajira yenye kipato tosha pia angekuwa kisababishi cha wengine kupata ajira ....Waandishi hawahangaiki kutafuta habari wanangoja zije ndio wazitangaze....hovyo kabisa wako chini kabisa....
 
Hivi huyu ana urefu wa futi 7.4 au futi 7 na inchi 4?

Hasheem Thabit ana urefu wa futi 7 na inchi 3 (i.e. kama 2.21m).

So far record ya dunia kwa urefu bado inashikiliwa na Mmarekani Robert Pershing Wadlow - marehemu) ambaye alikuwa na urefu wa futi 8 na inchi 11 (i.e. 2.72m)!
 
Naamini kuagiza kitanda na vifaa vinavyohitajika itaokoa maisha ya huyo kijana na gharama. kuna taratibu ndefu mpaka mgonjwa kupelekwa nje.
 
Naamini kuagiza kitanda na vifaa vinavyohitajika itaokoa maisha ya huyo kijana na gharama. kuna taratibu ndefu mpaka mgonjwa kupelekwa nje.
Angekuwa mtoto wa kigogo wala isingekuwa taabu, sasa Haya maisha ya kuunga unga ndiyo shida.
 
Naona dawa imekuingia panapostahili,ndio maana umeamua kutoa povu kama umebugia Omo, mimi na wewe ni nani aliyewaza kua dushe la huyo Baraka? Unashindwa hata kuchukua dakika moja ya kujitafakari? Mpaka hapo utakua umeshajijibu wewe mwenyewe kua huo mtandao wa TIGO ni wewe au mimi?

Wapi nimesema kila hoja ya Trump ina mashiko? Badala ya kuchangia maoni jinsi ya kumsaidia huyo tall kupata matibabu wewe unawaza dushe lake litakua na ukubwa gani? Hivi hujishitukii japo kidogo tu? Au wewe ndio kina hamnazo?

YAELEKEA UNA WASHWA KUGOMBANA HUMU JF, HEBU MTAFUTE MANGE KIMAMBI NDIYE MNAWEZA KUMATCH
 
YAELEKEA UNA WASHWA KUGOMBANA HUMU JF, HEBU MTAFUTE MANGE KIMAMBI NDIYE MNAWEZA KUMATCH
Eti Dume zima unauliza hiyo "dude" ya Baraka sijui na yenyewe itakua ndefu kama yeye?" Khaa! Huoni haya wewe? Au ndio wale wale? Haya nenda kamtafute huyo tall na ukikuta "dude" yake ndefu utuletee mrejesho humu coz una hamu ya kujua size hiyo kitu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom