Akon & dudu zuma (jacob's daughter)

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
akon+e+dudu+zuma.jpg

akon+e+dudu+zuma+2.jpg

Akon+2.jpg

Akon+7.jpg

Akon+6.jpg

sarakasi nazo zilikuwepo
 
duh ...watu waongo jamani.
hii ni akon alipofanya show trinadad and tobaco.......hebu ona hapo bendera nyukundu na stripes nyeusi!
huyo mtoto alikuja kujuulikana kuwa ana miaka 14 au 16 ( nimesahau kwa kuwa ni habari ya siku nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii)
msizue jamani...akkkkr
 
hahaha hehehe mie nimeipata kwenye google ngoja nimpigie mzee zuma anipe habari kamili teteteteth
 
Huyu basi ni pacha wake :D:eek:

No way Duduzile is 27 and hako kachick nadhani kako 15....sasa mpate hapa ila usichanagaye ans African Stars yetu ya Dada Asha

African Star Communications will be handling all PR strategies, implementations and events for the Dudu Zuma Foundation.

African Star will also act as publicist for Dudu Zuma in her personal capacity.

For more information contact farah@africanstar.co.za or call 079 826 1955
 
aaa wapi! FL huyo wa trinadad bonge la toto!
akon mwenyewe alipagawa kuambiwa kuwa ni underage ambaye hata 15 hajatimia.
search for its link ...............(maana alicheza nae vibaya mno nisingependa ku upload hapa nikamsaidia shetani kazi yake)
 
No way Duduzile is 27 and hako kachick nadhani kako 15....sasa mpate hapa ila usichanagaye ans African Stars yetu ya Dada Asha

African Star Communications will be handling all PR strategies, implementations and events for the Dudu Zuma Foundation.

African Star will also act as publicist for Dudu Zuma in her personal capacity.

For more information contact farah@africanstar.co.za or call 079 826 1955

Don worry Safari_ni_Safari nimeelewa vya kutosha
nitajisikia mwenye furaha kama haka ka topic katafungwa na invisible
 
Hicho kibinti kinaitwa Dana Alleyne na kinatoka Trinidad.

Hapa kuna video ila kweli ni dirty dancing (USIFUNGUE MBELE YA WATOTO INGAWA IKO TAYARI YOUTUBE).

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=FUiRvZo_7ZQ&feature=related"]YouTube- akon with 15 year old girl on stage[/ame]
 
Back
Top Bottom