Akisimama Makonda Mungu kasimama, je akisimama Magufuli nani kasimama?

Na Mimi nilisikia kitu akitamka bila ufafanuzu akimuambua mtu ati Mungu kakusikia something like that nilishtushwa kidogo nikadhani atafafanua lakini akasonga na mineno yake tu...
 
Huu ni udhalilishaji mkubwa alioufanya. Hata siamini kama kiongozi mkubwa wa ngazi ya mkuu wa mkoa anaweza kutoa kauli mbovu na za hovyo namna hii
 
Hata mitume na manabii hawakuwahi kutamka maneno hata. Heko watu wa Dar es salaam kwa kuwa na Mungu karibu yenu kupitia Makonda.
Mashehe, mapadre na wachungaji katafuteni kazi nyingine Dar sasa wakitaka toba au msaada wa Mungu watapitishia kwa Makonda kwani ndio njia rahisi maana alipo simama yeye hapo hapo ndipo alipo. Hili jambo litangazwe duniani na hakika ulimwengu utafurika hapa kuja kwa Makonda na nchi itanufaika kwa chanzo hicho kipya cha mapato
Nimeipenda hii. Si kupitia Makonda, bali wamepata Mungu anaitwa Makonda. Kweli madaraka hulevya!
 
Vyovyote iwavyo, hekima na busara vingetumika. Hakuna anayemtetea afisa wa ardhi lakini Makonda kama kiongozi maneno hayo hayakupaswa kumtoka kinywani.
Nakubaliana nawe100% Hekima ni LAZIMA IZIDI maarifa. Hapo hujakosea!
 
Kwa maneno hayo ya Makonda watu wengu wamemuona analaana hapa duniani na analaana huko mbinguni sio kama ni limbukeni lakini kwa yanasomekana kwamba alifanyiwa akiwa mtoto mdogo hayuko sawa kisaikolojia anajaaribu kuonyeshaa yeye ni mtu
 
labda kama alimaanisha mungu lakini kama alichokimaanisha ni MUNGU basi nakwambia leo hii, tena asubuhi hii nakunywa kahawa na kashata hapa barabara ya Saba-Tanga, Makonda atakutana na mkono wa MUNGU kwa kauli yake hio.
Mkuu Mungu pia si Mungu wa kutakia wengine MADHARA!!!
 
ama MJANE kuzungushwa zungushwa na mafisa wa Ardhi kwa MIAKA
ukii kuwa Mungu ni Mungu w
Wana JF. Nimejaribu kuifanyia analysis/ kuichambua kwa MAKINI kauli ya RC Makonda akimjibu yule afisa wa Ardhi na kupata yafuatayo.
1. Mkuu wa Mkoa alikuwa tayari na FACTS/Ukweli kuhusu maafisa wa ardhi kusuasua katika utendaji wao wa kazi na kuumiza wananchi!

2.ALIINUA sauti yake KIDOGO akitaka apate MAELEZO SAHIHI kutoka kwa yule mama afisa wa Ardhi.

Lakini naye akajibu kwa KUZUNGUKA ZUNGUKA jambo lililomuudhi Mkuu wa Mkoa.
Maana kama afisa wa Ardhi ni LAZIMA AJUE matatizo SUGU ya ardhi hasa YALIYOKAA miaka mingi bila KUSHUGHULIKIWA!
Hivyo alihitaji jibu lililojaa maadili na UKWELI!

3.TATIZO la mama MJANE kuzungushwa zungushwa na mafisa wa Ardhi kwa MIAKA mingi akitaka HAKI yake ndo kulimfanya makonda atumie neno

"Nikisimama nasimamia MUNGU"
ukii analyze hiyo sentensi ina maana "Nikisimama NASIMAMIA KWELI ya Mungu"
Tukumbuke jamani kuwa Mungu ni Mungu wa WAJANE

afisa wa Ardhi na kupata yafuatayo.

Tukumbuke jamani kuwa Mungu ni Mungu wa WAJANE[/QUOTE]
Wana JF. Nimejaribu kuifanyia analysis/ kuichambua kwa MAKINI kauli ya RC Makonda akimjibu yule afisa wa Ardhi na kupata yafuatayo.
1. Mkuu wa Mkoa alikuwa tayari na FACTS/Ukweli kuhusu maafisa wa ardhi kusuasua katika utendaji wao wa kazi na kuumiza wananchi!

2.ALIINUA sauti yake KIDOGO akitaka apate MAELEZO SAHIHI kutoka kwa yule mama afisa wa Ardhi.

Lakini naye akajibu kwa KUZUNGUKA ZUNGUKA jambo lililomuudhi Mkuu wa Mkoa.
Maana kama afisa wa Ardhi ni LAZIMA AJUE matatizo SUGU ya ardhi hasa YALIYOKAA miaka mingi bila KUSHUGHULIKIWA!
Hivyo alihitaji jibu lililojaa maadili na UKWELI!

3.TATIZO la mama MJANE kuzungushwa zungushwa na mafisa wa Ardhi kwa MIAKA mingi akitaka HAKI yake ndo kulimfanya makonda atumie neno

"Nikisimama nasimamia MUNGU"
ukii analyze hiyo sentensi ina maana "Nikisimama NASIMAMIA KWELI ya Mungu"
Tukumbuke jamani kuwa Mungu ni Mungu wa WAJANE
 
Hebu muacheni kidogo mkuu wa mkoa afanye yake, kuna mahali ananifurahisha saaana unajua saa nyingine inabidi uwe jeuri, hii nchi ilisha chezewa saaana, watu wanakula migongoni mwa maskini kirahisi kabisa, ngojeni kidogo kwanza mkuu wa mkoa awanyooshe hasa hawa wa aridhi hi, najua kuna watu wamepoteza haki zao hasa aridhi tena kwa ubabe mkubwa kisa tuu hawana mtetezi zaidi ya Mungu. Ngojeni kidogo awasulubu..
 
Ardhi Kinondoni nitawashughulikia.., hadi mtajuta kuzaliwa..., mimi nikisimama hapa, amesimama Mungu..., sikuletwa hapa kwa bahati mbaya, nitawatia ndani wote, na hakuna mtetezi wenu, wewe mama ....kichaa......unanisikia, hauna wa kukutetea.., "

- Paul Makonda (RC), Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom