Nimeipenda hii. Si kupitia Makonda, bali wamepata Mungu anaitwa Makonda. Kweli madaraka hulevya!Hata mitume na manabii hawakuwahi kutamka maneno hata. Heko watu wa Dar es salaam kwa kuwa na Mungu karibu yenu kupitia Makonda.
Mashehe, mapadre na wachungaji katafuteni kazi nyingine Dar sasa wakitaka toba au msaada wa Mungu watapitishia kwa Makonda kwani ndio njia rahisi maana alipo simama yeye hapo hapo ndipo alipo. Hili jambo litangazwe duniani na hakika ulimwengu utafurika hapa kuja kwa Makonda na nchi itanufaika kwa chanzo hicho kipya cha mapato
Nakubaliana nawe100% Hekima ni LAZIMA IZIDI maarifa. Hapo hujakosea!Vyovyote iwavyo, hekima na busara vingetumika. Hakuna anayemtetea afisa wa ardhi lakini Makonda kama kiongozi maneno hayo hayakupaswa kumtoka kinywani.
Mkuu Mungu pia si Mungu wa kutakia wengine MADHARA!!!labda kama alimaanisha mungu lakini kama alichokimaanisha ni MUNGU basi nakwambia leo hii, tena asubuhi hii nakunywa kahawa na kashata hapa barabara ya Saba-Tanga, Makonda atakutana na mkono wa MUNGU kwa kauli yake hio.
Si kweli mkuu. Mimi ni mchambuzi tu kama wewe!We jamaa nadhani utakuwa mmoja kati ya wale wanne wasiomuangusha pale ofisini kwake.
Wana JF. Nimejaribu kuifanyia analysis/ kuichambua kwa MAKINI kauli ya RC Makonda akimjibu yule afisa wa Ardhi na kupata yafuatayo.
1. Mkuu wa Mkoa alikuwa tayari na FACTS/Ukweli kuhusu maafisa wa ardhi kusuasua katika utendaji wao wa kazi na kuumiza wananchi!
2.ALIINUA sauti yake KIDOGO akitaka apate MAELEZO SAHIHI kutoka kwa yule mama afisa wa Ardhi.
Lakini naye akajibu kwa KUZUNGUKA ZUNGUKA jambo lililomuudhi Mkuu wa Mkoa.
Maana kama afisa wa Ardhi ni LAZIMA AJUE matatizo SUGU ya ardhi hasa YALIYOKAA miaka mingi bila KUSHUGHULIKIWA!
Hivyo alihitaji jibu lililojaa maadili na UKWELI!
3.TATIZO la mama MJANE kuzungushwa zungushwa na mafisa wa Ardhi kwa MIAKA mingi akitaka HAKI yake ndo kulimfanya makonda atumie neno
"Nikisimama nasimamia MUNGU"
ukii analyze hiyo sentensi ina maana "Nikisimama NASIMAMIA KWELI ya Mungu"
Tukumbuke jamani kuwa Mungu ni Mungu wa WAJANE

Uchambuzi wa kishirikina na kujipendekeza![/QUOTE
Wala hatujuani!
Kabila moja na mheshimiwa raisHivi Paul Makonda ni kabila gani?
Uchambuzi wa kishirikina na kujipendekeza!